Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

Hapo hawajaja wale 'fast track" sijui ni mawakala wao wale ......huwa hawapangi foleni na wakikaa kwenye dirisha sasa ........kipindi cha Kwanza cha mpira kinaisha ......πŸ™Œ
 
Madirisha 7,
Wahudumu 2,
Muhudumu 1 kati ya hao 2 ni mjamzito,
Mlinzi ndiyo floor manager,
Branch manager hayupo ana vikao alafu back up wake ndiyo huyo muhudumu mmoja wapo mwenye mimba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…