Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

Hapo hawajaja wale 'fast track" sijui ni mawakala wao wale ......huwa hawapangi foleni na wakikaa kwenye dirisha sasa ........kipindi cha Kwanza cha mpira kinaisha ......🙌
 
Madirisha 7,
Wahudumu 2,
Muhudumu 1 kati ya hao 2 ni mjamzito,
Mlinzi ndiyo floor manager,
Branch manager hayupo ana vikao alafu back up wake ndiyo huyo muhudumu mmoja wapo mwenye mimba,
 
Back
Top Bottom