Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama baada ya kukataa kumnyanyase kingono.

Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na fisi aliyemshambulia na kumshambulia uso upande wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa jicho.

Soma pia: Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

Labda alionyesha ujeuri, kuna mazingira unatakiwa usome saikoloji kwa wanaokuzunguka na kuwajibu majibu wanayotaka; mfano, kama alilazimishwa, angesema yeye ameathirika na hayuko tayari na wao wapotee n.k​
 
umenikumbusha miaka hyo kuna demu alikuja magetoni nikamuomba mchezo jibu alilonipa huku anatoa machozi ni kama hilo..pale pale hamu iliisha kabixa.
 
wewe huna uzoefu na haya kwa hakika hao wadada ni hatari na madereva kwa kweli wapewe maua yao ungalijua jinsi hawa wanayoyafanya usingeandika huu ujinga kabisa tafuta upate ukweli hao noi hatari na kuna majambazi kabisa hao wadada na njia zotye sasa wapo kwa kazi hizo jiulize kama ni msafiri wa kawaida kwa nini apande rorry wewe ujui ndio maana yanakutoka hayajakukuta iko siku utajua.
 
Labda alionyesha ujeuri, kuna mazingira unatakiwa usome saikoloji kwa wanaokuzunguka na kuwajibu majibu wanayotaka; mfano, kama alilazimishwa, angesema yeye ameathirika na hayuko tayari na wao wapotee n.k​
Wengine wanatembea na zana siyo wote ni wazembe kwamba wanapigaga kavu,tena wangeweza kumwambia ”kwani sis ulidhani tutafanya kavu?wenyewe tunaijali afya yako wewe tupe wezele hilo tuchezee” so still lengo lao lingetimia.
 
Kwa hapo madereva nitawatetea hawanaga roho mbaya kama hiyo kuna kitu anakificha huyo dada,labdq tungempata huyo dereva ndio tungejua ukweli.
Watanzania hatujafikia kwenye level hii ya ukatili,watu wanaosafiri sana au mabaharia huwa wanasaidiana sana kwenye majanga mbalimbali ya kimaisha.
 
Wengine wanatembea na zana siyo wote ni wazembe kwamba wanapigaga kavu,tena wangeweza kumwambia ”kwani sis ulidhani tutafanya kavu?wenyewe tunaijali afya yako wewe tupe wezele hilo tuchezee” so still lengo lao lingetimia.
Sababu ni nyingi, anaweza kusema kila ninaofanya nao mapenzi huwa wana kufa wao na vizazi vyao.
 
Hatusikilizagi maelezo ya UPANDE mmoja
Hata ukiwa mnyama bro kumuacha mtu ndani ya hifadhi ya wanyama usiku? Huna tofauti na muuaji. Maana hapo pana men rea, malice aforethought. So it is a first degree murder charge. Na kwenye mahakama ya Mungu damu inaongea. Alivuja damu ikadondoka so hata kama mahakama ya duniani haita judge ya mbinguni itajugde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…