Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

Rorry❌❌
 
Labda alionyesha ujeuri, kuna mazingira unatakiwa usome saikoloji kwa wanaokuzunguka na kuwajibu majibu wanayotaka; mfano, kama alilazimishwa, angesema yeye ameathirika na hayuko tayari na wao wapotee n.k​
Angewaambia waende guesthouse siyo njiani maporini hawatafurahia. Kumbe anawapoteza maboya. Wakifika mahali salama anakimbia au anaomba msaada.
 
Kuna wanawake huwa wanakaa barabarani wanasubiri malori ili wajiuze wanasafiri hadi mpakani wanadandia gari nyingine kurudi kazi zao kubadilisha cabin tu
 
Kila nikikaa na marafiki zangu ambao ni madereva wa hizi transit basi wanasimulia ngono tu ,kitu sipendi sana .

Yaani kununua kwao ni kawaida na umalaya.
Pole Sana Mkuu, waambie wasikusimulie tena na pia wakataze kufanya ngono
 
Mkuu hifadhi za wanyama Tanzania mbona zipo nyingi,ni ipi hiyo unayoongelea?
 
Kumbe alikua anajiuza
Aaahh kama sio kujiuza na kujisogeza some sogeza hao madereva wangempata wapi? Na wengine wanakuwa wanajiuza ila ndani ya yao kuna uporaji acha akome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…