Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

msipende kusikiliza upande mmoja mwanamke haaminiki hata kidogo


usimwonee huruma mwanamke utakufa unajiona
 
Nimeiona hii interview jana BBC swahili. Kwakweli nililia 😟
 
wewe ndio huwajui sisi miaka yote tunafanya nao kazi usisikie story za kijiweni
mimi nikuambie tuu humu jf kuna madereva kibao na wana uzi wao pia kama uelewi na ni watu wenye uwezo sana kibamba yote maili moja kwa matias na vitongoji vingi vya mkoa wa pwani nyumba unazoziona ni za Drivers na wako vizuri wewe ukasome.
 
Badala ya kuelezea uhatari wao umeishia kusikitika tu. Why ?
 
njoo na wewe uendeshe gari kwa miezi mitatu kwenda CONGO AU SUDAN bila kurudi nyumbani kama hautakuwa na kiu ya kupunguza njiani
 
Wanao watetea hao malaya hayajawahi kuwakuta, Mwanamke kama Mwanamke nikiona anapanda roli siwafichi huyo hata kuuwa haoni hatari hasa hawa wanaojiuza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…