Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere

- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa

#JFMagufuli
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
 
#JFMagufuli https://t.co/ihqHaaX9eX
Bila shaka hiyo amri ya kuwachukua haitasababisha mtu kutumbuliwa
 
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere

- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa

#JFMagufuli https://t.co/ihqHaaX9eX
Katika hotuba zake wewe huona hilo ndilo la msingi? Unafikirisha!
 
Mbona hapo hakuna udhalilishaji wowote kwani wasukuma kuchukua wanawake wa kizaramo kuna tatizo

Labda kama ungeniambia kwa nini hupenda kutumia mfano huo sana katika hadhara wakati mifano ipo mingi tu ili afikishe ujumbe katika hadhara kama huwa anataka watu wacheke na kufurahi bado mifano ipo mingi tu hatakiwi kutumia mifano ile ile kuna mifano mingi tu ambayo haihusiani na tendo la ndoa na watu wakacheka na kufurahi anaweza kutumia
 
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere

- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa

#JFMagufuli https://t.co/ihqHaaX9eX
Wewe ndiyo unaona udhalilishaji, ila kwa kweli huyu mheshimiwa rais ni mtu wa utani sana, kama anavyosemaga anachomekea
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Tufanye mahojiano na mama Janeth ili kupata picha halisi
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.

Pascal Mayalla, Msukuma Original, na wengine tunaomba mtie neno kama hii kauli ina ukweli.
 
Wewe ndiyo unaona udhalilishaji, ila kwa kweli huyu mheshimiwa rais ni mtu wa utani sana, kama anavyosemaga anachomekea
Hao wana mawazo/ hoja za kukaririshwa. Hivyo basi, wataendelea kucheza na kauli za Magufuli badala ya masuala (issues) muhimu. Hawajatambua kuwa ndani ya "utani" wake kuna ujumbe mzito.
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Hapo jamaa alikuwa anatania
 
Back
Top Bottom