Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Waulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
Ulitaka achekelee tu wakati binti kakosa adabu? kumbuka kanda ya ziwa ni eneo la discipline siyo wanaume suruali anzia Tarime mpaka chato shinyanga mpaka Urambo utaambiwa haturembi mwandiko ukizuka unalipuliwa tu na ndiyo maana wale wapumbavu walikuwa wanachezea kwa wanaume suruali yaani , RUFIJI KIBITI NA MKURANGA Kanda ya ziwa umwambie mtu unakwenda kumuua akusubiri labda ana wazimu ukishasema tu hakungoji anakufuata na kukumaliza hukohuko, lakini wanaume wa pwani mhhhhh. taabu tupu.
 
Umeona ukisema moja ya sifa ya wasukuma ni UTANI utajisikia kutoa haja kubwa.
Ndio maana wasukuma wanautani na kabila nyingi, na ukienda kwao utaishi bila shida sio wengine ugali unakutoa roho tu
Kwi kwi kwi yaani wale wanaoweza kukuroga kisa mkeo anapika Sana nyama eee?!!!
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Acha hasira, waulize kina mama sisi wasukuma kwanza tunajua kuwapenda na pili hata wakituonea tunafurahi nao tu. Wewe huenda ulikumbana na jamaa linajiita Msukuma lakini siyo. Acha wamama walioolewa na wasukuma wafaidi mapenzi.
 
Pascal Mayalla, Msukuma Original, na wengine tunaomba mtie neno kama hii kauli ina ukweli.
Watu wanashindwa kutenganisha maneno ya kweli na utani! Ifahamike kuwa Wasukuma na Wazaramo ni watani wa jadi, hivyo mkulu alikuwa anawatania ndugu zake! Mara nyingi watani zetu huwa tunawatania kwamba ni watoto au wajukuu zetu kwa maana kwamba tulioa mama zao au bibi zao! Ama kweli wapinzani tumeishiwa hoja tumebaki kuangalia mdomo wa mkulu utatamka neno gani! KWISA HABARI YETU!
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Mie nilipoolewa alikuja shemeji yangu katoka Ulaya akanipa boxer nimfulie...kisa kwao ziko njema .wakanifanya mke wao!..nikasema my dearest mmebug meeen!
 
Wewe ndiyo unaona udhalilishaji, ila kwa kweli huyu mheshimiwa rais ni mtu wa utani sana, kama anavyosemaga anachomekea
Hana presidential language... Hata kama ni utani si wa hivyo... KWAMBA DAS NA MKUU WA WILAYA WAKAGOMBANIE WANAUME..!!!
 
Mie nilipoolewa alikuja shemeji yangu katoka Ulaya akanipa boxer nimfulie...kisa kwao ziko njema .wakanifanya mke wao!..nikasema my dearest mmebug meeen!
Yani umfulie shemeji yako nguo za ndani? That was above and beyond dis respect. Mke wangu afue chupi za mdogo au kaka yangu kisa nini? Aheri mie ndo nifue
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Tuko humble sana.
 
Ndo alikua ananipa Mimi...! Nikawa nahis sio sawa..nikamuask mom akasema weeeee stooop! Misukuma ina dharau sana
Hao wasukuma washenzi...Mtu anejielewa hawezi fanya hivyo. Japo wasukuma ni watu wa misimamo sana.
 
Back
Top Bottom