Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Bila shaka hiyo amri ya kuwachukua haitasababisha mtu kutumbuliwaRais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere
- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa
#JFMagufuli https://t.co/ihqHaaX9eX
Katika hotuba zake wewe huona hilo ndilo la msingi? Unafikirisha!Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere
- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa
#JFMagufuli https://t.co/ihqHaaX9eX
Wewe ndiyo unaona udhalilishaji, ila kwa kweli huyu mheshimiwa rais ni mtu wa utani sana, kama anavyosemaga anachomekeaRais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere
- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa
#JFMagufuli https://t.co/ihqHaaX9eX
Wewe ulikuwepo?Waulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
Tufanye mahojiano na mama Janeth ili kupata picha halisiSio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.
Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.
Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Malezi yasipokuwa mazuri watu wanafanya vituko sana ukubwaniWaulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.
Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.
Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Hao wana mawazo/ hoja za kukaririshwa. Hivyo basi, wataendelea kucheza na kauli za Magufuli badala ya masuala (issues) muhimu. Hawajatambua kuwa ndani ya "utani" wake kuna ujumbe mzito.Wewe ndiyo unaona udhalilishaji, ila kwa kweli huyu mheshimiwa rais ni mtu wa utani sana, kama anavyosemaga anachomekea
Hapo jamaa alikuwa anataniaSio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.