Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

huwa naumia sana kiongozi wa nchi akidhihaki wanawake.
 
If you can not change your superior, try to learn how to cope with him/her! Kila siku umalaya ukichaa na hotuba zake au uache kuzisikiliza au ukubaliane nazo
 
Nduli la kisu-****
 
Umeona ukisema moja ya sifa ya wasukuma ni UTANI utajisikia kutoa haja kubwa.
Ndio maana wasukuma wanautani na kabila nyingi, na ukienda kwao utaishi bila shida sio wengine ugali unakutoa roho tu
 
Mambo mengine mtu akiongea unaona kabisa anatania.Ila mnavyoyashupalia sasa! Kwan kwenye hotuba yote anayoongea huwa mnaona hayo tu?

Ana shida na wanawake na hilo limejitokeza kwa nguvu kwenye hotuba ya na kuharibu uzuri wa mengine aliyosema. Kumdhalilisha mwanamke ni sawa na kundhalilisha dada yao, mama yako au binti yako. Hatuwezi kuunyamazia udhalilishaji kama huo.
 
Vitu vingine ni utani tu, ila kwa chuki zenu mnavalia njuga na kufanya serious. Magufuli ni mtu wa utani toka yupo Bungeni akiwa mbunge na Waziri, hata ripoti ya wizara Bungeni alikuwa akiwasilisha huku akitumbukiza utani. Nakumbuka moja inayohusu ujenzi wa barabara Iringa, aliwatania wahehe..... Huko kutafuta kosa au mapungufu mnaelekea siko aisee, vingine ni masihara kufurahusha tu. Mshachukua na kufanya mkuki wa kumchomea
 
Ana shida na wanawake na hilo limejitokeza kwa nguvu kwenye hotuba ya na kuharibu uzuri wa mengine aliyosema. Kumdhalilisha mwanamke ni sawa na kundhalilisha dada yao, mama yako au binti yako. Hatuwezi kuunyamazia udhalilishaji kama huo.
Mwisho wa siku maamuzi yanabaki kwako kutokana na uzito utakaoichukulia hiyo kauli.
 
Mtu hunena kadri ya mtendo yake, By the way mara nyingi hufanya hivo!
 
Pascal Mayalla, Msukuma Original, na wengine tunaomba mtie neno kama hii kauli ina ukweli.
Mkuu Tate Mkuu, asante kuni tag!.
Japo hii ni kweli ila sio kwa Wasukuma wote.
Kitu wengi wasichojua kuhusu wanaume wa Kisukuma ndio tunaoongoza kwa kupenda,yaani love. Ndio tunaongoza kwa idadi ya wanawake. Hivyo tunapenda sana wanawake, tatizo letu ni ushamba tuu wa ku express our love, hata hayo matamshi watu wanaodhani ni ya udhalilishaji, take it from me, it is not, and more surprising, it's the other way around!.

Haya mambo ya uteuzi wa wanawake nimeisha yasema sana humu

Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
Angalizo kwenye kuifungua hiyo link, kama wewe huna uwezo wa kuona kwa Jicho la tatu na kusoma in between the line, naomba usijisumbue kuifungua hiyo link, utatoka kapa!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…