Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Mkuu, mimi naseema hiviiii 'OGOPA MSUKUMA ALIYEKULIA USUKUMANI KISHA AKAJA MJINI AKAWIN MAISHA' huyo mwanamke ni neema ya Mungu tu ihusike.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ni mtu wa utani
Hapana Magufuli sio mtu wa utani isipokuwa analazimisha tu! Kama huamini hili read from his face akiwa anafanya huo utani na akiwa normal the difference is the same.

Hivi itatokea siku tutakubali rais kama binadamu mwingine anakosea!

Umesoma kwa makini hoja na umeelewa?
Hoja hapa hata kama ni utani kwanini utani hasi?

Kwanini kila mara karibu kila siku akiwa na mkutano tu lazima aweke huo unaosema utani tena hasi?

Hata JK alikuwa anamatani sana tu lakini mbona kwenye utani wake hakuwa anaongelea mara kwa mara wanawake?
 
Yego jaji anu wanyamula bhe
 
mkuu upo sahihi 100% ...ninaishi karbu na rafki yangu mmoja wa kisukuma aisee ...mke wake thamani hana kabisa kwa mume wake

wanasemaga...hata kijana wa kiume wa kisukuma akiwa na miaka 5 anapaswa kuamkiwa na kupigiwa magiti na dada yake alie na miaka 20 au zaid
 
Thibitisha, kwa kuweka ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…