Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Nakubaliana na wewe Mkuu,Mimi ni Mjita na kuna baadhi ya mambo sikubaliani nayo Mpaka sasa..
Mfano Dada yangu naweza kumtuma maji na akinipatia inatakiwa apige goti mpaka nimalize kunywa haha.
Mimi hii hapana.
Wasukuma,Wajita,Wakerewe..nk. Hasa Waliokulia Vivijini ndiyo wanye hizo tabia.
Mkuu, mimi naseema hiviiii 'OGOPA MSUKUMA ALIYEKULIA USUKUMANI KISHA AKAJA MJINI AKAWIN MAISHA' huyo mwanamke ni neema ya Mungu tu ihusike.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ni mtu wa utani
Hapana Magufuli sio mtu wa utani isipokuwa analazimisha tu! Kama huamini hili read from his face akiwa anafanya huo utani na akiwa normal the difference is the same.

Hivi itatokea siku tutakubali rais kama binadamu mwingine anakosea!

Umesoma kwa makini hoja na umeelewa?
Hoja hapa hata kama ni utani kwanini utani hasi?

Kwanini kila mara karibu kila siku akiwa na mkutano tu lazima aweke huo unaosema utani tena hasi?

Hata JK alikuwa anamatani sana tu lakini mbona kwenye utani wake hakuwa anaongelea mara kwa mara wanawake?
 
Nakubaliana na wewe Mkuu,Mimi ni Mjita na kuna baadhi ya mambo sikubaliani nayo Mpaka sasa..
Mfano Dada yangu naweza kumtuma maji na akinipatia inatakiwa apige goti mpaka nimalize kunywa haha.
Mimi hii hapana.
Wasukuma,Wajita,Wakerewe..nk. Hasa Waliokulia Vivijini ndiyo wanye hizo tabia.
Yego jaji anu wanyamula bhe
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
mkuu upo sahihi 100% ...ninaishi karbu na rafki yangu mmoja wa kisukuma aisee ...mke wake thamani hana kabisa kwa mume wake

wanasemaga...hata kijana wa kiume wa kisukuma akiwa na miaka 5 anapaswa kuamkiwa na kupigiwa magiti na dada yake alie na miaka 20 au zaid
 
Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.

Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.

Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Thibitisha, kwa kuweka ushahidi
 
Back
Top Bottom