Mkuu, mimi naseema hiviiii 'OGOPA MSUKUMA ALIYEKULIA USUKUMANI KISHA AKAJA MJINI AKAWIN MAISHA' huyo mwanamke ni neema ya Mungu tu ihusike.Nakubaliana na wewe Mkuu,Mimi ni Mjita na kuna baadhi ya mambo sikubaliani nayo Mpaka sasa..
Mfano Dada yangu naweza kumtuma maji na akinipatia inatakiwa apige goti mpaka nimalize kunywa haha.
Mimi hii hapana.
Wasukuma,Wajita,Wakerewe..nk. Hasa Waliokulia Vivijini ndiyo wanye hizo tabia.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app