Hahaaaa dah Mimi Hadi niliugua aisee, ule mkoa hapana watu wanawacheka wagogo bure lile jua limeharibu akili zao na hizi Niku kame ndo haswa[emoji3][emoji3][emoji3] na bahati mbaya uwe unafanya kazi za "site" zaidi ya zile za ofisini!...utasimulia[emoji3]
SAWA KARIBU TENA SJUT[emoji28][emoji28] pole ndugu..mi nliishi hapo miaka mitatu mitaa ya kikuyu..ila maji ya kunywa nlikuwa nanunua Hadi nimeondoka hapo..
Kadet inapauka ndani ya mwez tu
Mkuu, hivi jua kwa Dodoma ni kali kuliko Pwani, Dar..?....Dodoma jua ni kali mno hadi ngozi ya utosi inababuka.
Ndio ikulu sasa kajinyongeDodoma sio mji wa kuishi maji Yana chumvi hata kupikia chai hayafai, ukioga ndo usiseme ni Kama unajichafua. Huo mji kwa shida za maji sio wa kuishi kabisa
Mkuu, kwa mujibu wa hii ripoti ya utafiti wa kisayansi, it seems kuna shida kubwa mno huko!!!
SAWA KARIBU TENA SJUT
Waongo hao labda wawe hawaijui Dar. .. Kwanza jua la Dom halikutoi jasho linawaka kwa kiasi chake lakini kunakuwaga na kiupepo cha mbali mbali. In short jua la Dom halikeri kama la DarMkuu, hivi jua kwa Dodoma ni kali kuliko Pwani, Dar..?
@CreditAnalyst hujambo mamii, tumbo linaendeleaje? Nimefurah kusikia upo Dodoma.Maji ya Dodoma Kama unanguo chache...na nzuri hUtaki zipauke haraka..unafua na sabani ya kipande...unasuuza Mara mbili Mara tatu kutoa povu..
Kwa SABUNI ya Unga...usiloweke nguo zako nzuri za kutokea kwenye SABUNI
..unzaifua chap chap alafu unaanika juani na kuwai kuzianua ili zisipauke na jua...Kama Kuna kivuli hizo nzuri unaanika kivulini..
Kuhusu NGOZO Hilo Ni tatizo Lako binafsi lifanyie KAZI...Watu tuna ngozi nzuri TU huKU DODOMA.
Wewe mpumbavu kweli comments zangu kwa huu Uzi unahusianaje na ikulu na kujinyonga, mwanaume mpumbavu Sana, tena useless huna akili kabisa kubwa jinga. Ikulu hata ikiwa chato Mimi inanihusu mfyuuuuNdio ikulu sasa kajinyonge
hata mim nashangaa nimekaaa miaka 3.nilikua mweupee.na kila nikienda huko nipo hapo mtaa wa barabara ya nane mtaa wa vitumbua na bajia na chai za kiswahil za viungo.sijawah kuwashwa.mtoa mada umezidisha.kufua kweli nguo fulia zile za sabun za mawing za buluu za kigoma chap anika kwenye kivuli.ya kunywa sinununue vi water purifier mbona zipo zinachuja maji 99%germ free.nenda hapo kamata junction kwa weoe jamaa wa vifaa zimejaa teleMaji ya Dodoma Kama unanguo chache...na nzuri hUtaki zipauke haraka..unafua na sabani ya kipande...unasuuza Mara mbili Mara tatu kutoa povu..
Kwa SABUNI ya Unga...usiloweke nguo zako nzuri za kutokea kwenye SABUNI
..unzaifua chap chap alafu unaanika juani na kuwai kuzianua ili zisipauke na jua...Kama Kuna kivuli hizo nzuri unaanika kivulini..
Kuhusu NGOZO Hilo Ni tatizo Lako binafsi lifanyie KAZI...Watu tuna ngozi nzuri TU huKU DODOMA.
Shikamoo BabuHivi Dodoma kwa sasa kuna maji ya kutosha? Nakumbuka nilishawahi kuoga maji kwenye beseni la kunawia mikono nilipomtemblea jamaa yangu aliyekuwa anaishi eneo la Makole mwaka 1977!
Unaposema jiji zima unamaanisha nn?? Mbona sie hapa tulipo maji hayajawahi kukatika hata kwa sekunde tu..Shida ya maji ipo palepale.
Sasa hivi ni mwendo wa mgawo tu jiji zima! Na huu mgawo umeanza toka August!
Dodoma yakijinga sana tunaishi basi tu, ila huyu mleta uzi aliyesema ukiogea ngozi inaharibika si kweli atakuwa na ngozi mbaya au kavu.
Hivi Dodoma kwa sasa kuna maji ya kutosha? Nakumbuka nilishawahi kuoga maji kwenye beseni la kunawia mikono nilipomtemblea jamaa yangu aliyekuwa anaishi eneo la Makole mwaka 1977!
Una maliziaga vizuri sana..Hapo Ndiyo Dodoma Maji Yanatoka Mzakwe Kwenye Visima Vya Kuchimba. Kuanzia Nguo Kuoga Ni Changamoto
Ukiogea Ngozi Unazeeka Haraka Uliyosema Ni Kweli Tupu
Mkoa Ambao Una Ujanjaujanja Tu Wa Wanasiasa Una Shida Hizo
Yaani Asubuhi Mchana Jioni Sura Zimepauka, Maji Hayo
Nguo Ndiyo Usiseme!!!!!
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
ππππ ππππ
Duuh.. sasa kwanini Dodoma iliumbwa???Na kwa taarifa yake, kama ndio kahamia, baada ya miaka mitatu hadi minne ataanza kuvaa miwani!
Jua la Dodoma linaozesha macho!πππ ...hutaki unaacha!
Kuna mikoa ji jehanamu.. nilienda huko 2015 nikapita na Mpwapwa, ndani ya week lipsi zimepasuka balaa.. nimepauka hatari..Hahaaaa dah Mimi Hadi niliugua aisee, ule mkoa hapana watu wanawacheka wagogo bure lile jua limeharibu akili zao na hizi Niku kame ndo haswa