Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

Hata mimi mwanzo nilipata challenge ya ngozi kukauka sana nakuwa mweusi kupitiliza....nikashauriwa niogee na sabuni zenye glycerine nyingi niachane na medicated soup. NOW natumia lux na maji ni yale yale ngozi imerud normal kabisa.
 
mtaalam ukiachana na sabun.pia pendelea kuvaa nguo za mikono mirefu na vaa cap.kama utaona ni ngum bas usiwe mtu wa kutembea sana juan bila cap.ubak unaungua mikkono tu ila kichwa kinabak salama.mafut ya naz nayo yanafaa sana na mgando.
 
Nakuonea huruma sana.
Yani ukitaka uswahili mimi ndio mswahili haswa, ukitaka ufala mimi ndio nimezaliwa ndani yake ukitaka ubandidu hadi uione JF chungu mimi ndiye bandidu haswa.

Kindigo wewe, hujui kitu kazi kuropoka tu upuuzi.
Ujinga Baki nao mwenyewe haunihusu Mimi loh
 
Back
Top Bottom