Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Lakini ndipo kunaweza kunapokupa riziki na vimafuta vya ist yako ujue!☺Kuna sehemu sio za kuishi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ndipo kunaweza kunapokupa riziki na vimafuta vya ist yako ujue!☺Kuna sehemu sio za kuishi mkuu
mtaalam ukiachana na sabun.pia pendelea kuvaa nguo za mikono mirefu na vaa cap.kama utaona ni ngum bas usiwe mtu wa kutembea sana juan bila cap.ubak unaungua mikkono tu ila kichwa kinabak salama.mafut ya naz nayo yanafaa sana na mgando.Hata mimi mwanzo nilipata challenge ya ngozi kukauka sana nakuwa mweusi kupitiliza....nikashauriwa niogee na sabuni zenye glycerine nyingi niachane na medicated soup. NOW natumia lux na maji ni yale yale ngozi imerud normal kabisa.
40- 150K RANGE HIYONatafuta chumba kikuyu naweza pata Bei gani?
Ujinga Baki nao mwenyewe haunihusu Mimi lohNakuonea huruma sana.
Yani ukitaka uswahili mimi ndio mswahili haswa, ukitaka ufala mimi ndio nimezaliwa ndani yake ukitaka ubandidu hadi uione JF chungu mimi ndiye bandidu haswa.
Kindigo wewe, hujui kitu kazi kuropoka tu upuuzi.
Kindiga weweUjinga Baki nao mwenyewe haunihusu Mimi loh