Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
Punde hivi naangalia habari kwa ufupi (Tbc).
Ambapo Dc Mbozi mkoani Mbeya ameripoti kua Serikali imegundua (Confirm) kati ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza wilayani kwake, wanafunzi 28,000 hawajui KUSOMA na KUANDIKA!
Ripota wa Tbc anadai kufuatia uzito wa kadhia husika ilimlazimu akafanye mahojiano na Afisa Elimu (W) Mbozi.
Aidha mahojiano hayo baina ya ripota na Afisa Elimu, yakawa kama hivi :
Ripota > "Unaweza ukawaeleza nini waTanzania juu ya aibu, sintofahamu ya kadhia hii, watoto 28,000 kufaulu btw hawajui Kusoma na Kuandika ?"
Afisa Elimu > Tatizo ni uchache wa vyumba vya madarasa, hivyo kufanya madarasa kujaa watoto kupita kiasi.
Pia uhaba na uchache wa waalimu, sambamba na utoro sugu wa wanafunzi, na hawapati ushirikiano na wazazi.
(mwisho nukuu)
Wadau kwa majibu haya ya kutia kichefchefff, ndiyo yalioniandikisha Sredi hii.
Na kilichonishangaza ni kuona kwng ripota Tbc kutomuuliza swali ziada, ndy kusema karidhishwa na majibu hayo.
Imetoka hiyo!