Hivi majibu haya yamelitendea haki swali husika ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,785
Punde hivi naangalia habari kwa ufupi (Tbc).
Ambapo Dc Mbozi mkoani Mbeya ameripoti kua Serikali imegundua (Confirm) kati ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza wilayani kwake, wanafunzi 28,000 hawajui KUSOMA na KUANDIKA!
Ripota wa Tbc anadai kufuatia uzito wa kadhia husika ilimlazimu akafanye mahojiano na Afisa Elimu (W) Mbozi.
Aidha mahojiano hayo baina ya ripota na Afisa Elimu, yakawa kama hivi :
Ripota > "Unaweza ukawaeleza nini waTanzania juu ya aibu, sintofahamu ya kadhia hii, watoto 28,000 kufaulu btw hawajui Kusoma na Kuandika ?"
Afisa Elimu > Tatizo ni uchache wa vyumba vya madarasa, hivyo kufanya madarasa kujaa watoto kupita kiasi.
Pia uhaba na uchache wa waalimu, sambamba na utoro sugu wa wanafunzi, na hawapati ushirikiano na wazazi.
(mwisho nukuu)
Wadau kwa majibu haya ya kutia kichefchefff, ndiyo yalioniandikisha Sredi hii.
Na kilichonishangaza ni kuona kwng ripota Tbc kutomuuliza swali ziada, ndy kusema karidhishwa na majibu hayo.
Imetoka hiyo!
 
Punde hivi naangalia habari kwa ufupi (Tbc).j

Hili sio jukwaa la siasa! !!
 
Hili sio jukwaa la siasa! !!

Si kila habari ihusianayo na details za serekali ni Siasa!
Try to expand your view! Pima tofauti !
Mtoto wangu apelekwe form 1 hajui kusoma/kuandika inahusu Siasa?
Usiwe mfupi wa kukoma kufikiri mapema!
Pia durusu tena chtcht means!
 
Its not our concern!!!
 
wa TZ nani katuroga.......kila sehemu uozo watoto 28,000 wamefaulu na hawajui kusoma wala kuandika.......maajabu yanapatikana TZ
 
Mind is so powerful than fist!!!!!!!!

Okay , i cant even believe i just asked that question because the obvious answer would be stand up for yourself, bt for some strange reason it's not as simple as that .
Then between us who's one insult another member?
A word ILLITERATE mean havin little no education, skills especially unable to read or write! Uonavyo wewe yupo kati yetu who havin such elements ? Ina maana hapa tunaandikaje?
 
wa TZ nani katuroga.......kila sehemu uozo watoto 28,000 wamefaulu na hawajui kusoma wala kuandika.......maajabu yanapatikana TZ

Na huyo aliyeturoka keshafariki manake angeyaona haya yanayoendelea angetuonea huruma akatengua mambo
 
Back
Top Bottom