Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Dah, umeileta hii taarifa yako kwa mtindo wa kichesho sana mkuu.Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu
Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida
Swali linakuja, makampuni haya yana mpango gani na watu wa aina hiyo, wasiwe wanaandaa adhabu kali sana pasi na kuutaarifu ulimwengu tukaja kushangaa watu wanapotea kusikojulikana, akiwemo mwanangu! Na je, serikali imejipanga vipi kuwatetea watu wake pindi makampuni haya ya ovyo yatakapowasha hasira zao?
Kuepuka kuingia kwenye mkenge, nimeamua kujikopea zangu ka Itel A100C kwa sababu mkopp wake hauvunjiki ili hata nikiingiwa tamaa za kuvunja, usivunjike
Labda nivunje kioo!
Wiki moja baada ya ukopaji huo haramu, nilishangaa wananipigia simu kwa sana ili nitoe marejesho. Nilivyoona ni kero nikavunja laini. Cha ajabu kesho yake sikuskia lile tangazo lao la Mkopo Mkopo Mkopo, nilipata wasiwasi nikidhani huenda waki wananidiskasi mimi, almanusra niwarudishie simu yaoWe jamaa wewe Yani mpaka umemtaja jina huyo IT?,huoni kua unamuweka hatarini kwani wewe wajua hizo simu huko kwa seller zinanunuliwa kwa shingp,hivi ulishawahi kuwaza pamoja na kwamba watu wanaua huo mfumo wa mkopo lakini bado mabango mtaan ya mikopo ya hizo simu ndo kwanza yanaongezeka.
😁😁😁😁😁Oyaa unatuharibia kazi
Anataka tufe njaa huyu😁😁😁😁😁
Oyaa unatuharibia kazi
Hivi huwa inakuaje kwa mtu unakuwa proffessional kiasi cha kuvunja kila simu, mi nilitaka kutumia simu isiyovunjika, lakini kuna watu wanasema eti hii itel a100c ni ya kuvunjia kwa vidole tu, watu hawana jema lakini😔Anataka tufe njaa huyu
Hii kitu sio hapa tu hata india nimekaa india miezi 7 niliyo yaona afadhali ya hapa kule sio powa kila mtu anatumia simu ambayo kavunja mkopo ila mie naona wenyewe hupata faida pale mtu anapotoa kianzio tu next ni balaa watu hawa malizi deni ni mwendo wa unlock tool mixer baypass sio powa afu na siku hizi zile app za ku unlock ni bei rahisi sanaHivi huwa inakuaje kwa mtu unakuwa proffessional kiasi cha kuvunja kila simu, mi nilitaka kutumia simu isiyovunjika, lakini kuna watu wanasema eti hii itel a100c ni ya kuvunjia kwa vidole tu, watu hawana jema lakini😔
Simu za kina POPOMAMtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu
Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida
Swali linakuja, makampuni haya yana mpango gani na watu wa aina hiyo, wasiwe wanaandaa adhabu kali sana pasi na kuutaarifu ulimwengu tukaja kushangaa watu wanapotea kusikojulikana, akiwemo mwanangu! Na je, serikali imejipanga vipi kuwatetea watu wake pindi makampuni haya ya ovyo yatakapowasha hasira zao?
Kuepuka kuingia kwenye mkenge, nimeamua kujikopea zangu ka Itel A100C kwa sababu mkopp wake hauvunjiki ili hata nikiingiwa tamaa za kuvunja, usivunjike
Labda nivunje kioo!
Kwa hiyo mkuu, hata hii yangu inatoka? Itel A100c (msaada)Hii kitu sio hapa tu hata india nimekaa india miezi 7 niliyo yaona afadhali ya hapa kule sio powa kila mtu anatumia simu ambayo kavunja mkopo ila mie naona wenyewe hupata faida pale mtu anapotoa kianzio tu next ni balaa watu hawa malizi deni ni mwendo wa unlock tool mixer baypass sio powa afu na siku hizi zile app za ku unlock ni bei rahisi sana
Ina security plug ya kampuni gani?Kwa hiyo mkuu, hata hii yangu inatoka? Itel A100c (msaada)
Palm PayIna security plug ya kampuni gani?
Inatoka hiyoPalm Pay