Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
naomba na me niwepo kwenye kupata hii Coffee ☕ 😎Miss you too Vin, ngoja mifungo imalizike tupate Coffee 🤗🤗
naomba na me niwepo kwenye kupata hii Coffee ☕ 😎Miss you too Vin, ngoja mifungo imalizike tupate Coffee 🤗🤗
Tajiri mwenye upepo ata approve Vincenzo Jrnaomba na me niwepo kwenye kupata hii Coffee ☕ 😎
tajiri naona kapiga kimyaTajiri mwenye upepo ata approve Vincenzo Jr
Leta kisa cha kumla mganga kwenye uzi wa rikiboyDah Nyampulukano ? Nilifika sengerema mjini kununua mpunga nitunze kwenye magahala yenu nikaibiwa mtoto wa mjini na wakala ,nikaambiwa niende kwa mganga Nyampulukano karibu na secondary ya nyampurukano nikaishia kulala na yule mama mganga nikarudi zangu Dar na maumivu
Vitambulisho vyote hivyo vinaitajika au ni kimoja wapo?MIMI NAKOPESHA SIMU ZA MKOPO KUANZIA A06, A07, A16,A17 KWA WATU AMBAO WANAPENDA SIMU ZA MKOPO NI DM. KIANZIO ELF50 KWA A06,A07
KITAMBULISHO CHA NIDA
LESENI YA UDEREVA
KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA
Kimoja wapo mkuu.Vitambulisho vyote hivyo vinaitajika au ni kimoja wapo?
Inatoka hiyo
Njoo pmMkuu, nipe utaalamu huo. Nina uhitaji nao sana
Kuna Father amekuja na A05 anasema aliuziwa na kijana mtaani kwake , complain yake anasema simu imemuandikia locked baada ya kurestore nikamwambia hiyo ilikuwa na mkopo wakatoa mkopo kwahyo ulivyo restore ndoumeharibu akasema naomba unielekeze wanapapotikana hao watu credit ambao wameifunga hii simu yangu nikamwambia hiyo ni case kubwa inabidi ujiandae akasema wew nielekeze tu ofis hayo mengine niachie mim nikamuelekeza kuna branch wanakopesha simu sijui ni nn kilitokea huko ila mzee ni taita kinoma🙌Dah, umeileta hii taarifa yako kwa mtindo wa kichesho sana mkuu.
Monetary doctor simu za mkopo zipo!
Kifaa kama simu si cha kununua kwa mtu tena usiymjua. Bora utoe pesa ndefu ununue tambo lako jipya.Kuna Father amekuja na A05 anasema aliuziwa na kijana mtaani kwake , complain yake anasema simu imemuandikia locked baada ya kurestore nikamwambia hiyo ilikuwa na mkopo wakatoa mkopo kwahyo ulivyo restore ndoumeharibu akasema naomba unielekeze wanapapotikana hao watu credit ambao wameifunga hii simu yangu nikamwambia hiyo ni case kubwa inabidi ujiandae akasema wew nielekeze tu ofis hayo mengine niachie mim nikamuelekeza kuna branch wanakopesha simu sijui ni nn kilitokea huko ila mzee ni taita kinoma🙌
Hivi kwanini hizo simu mnaziita Tambo?Kifaa kama simu si cha kununua kwa mtu tena usiymjua. Bora utoe pesa ndefu ununue tambo lako jipya.
Watu wengi sana wanalizwa kwa mtindo huu.
Mi mwenyewe sijui, nimeiga tu huu msamiati wa vijana 😂.Hivi kwanini hizo simu mnaziita Tambo?