Hivi makampuni ya simu za mkopo yana mpango gani na simu zinazoondolewa mkopo?

Hivi makampuni ya simu za mkopo yana mpango gani na simu zinazoondolewa mkopo?

Haziondolewi mkopo bali zinaondolewa kizuizi, na ubaya zaidi uki restart /factory reset kizuizi kinarudi palepale.
 
Iphone ya mkopo sidhani sababu iphone huwezi kuweka App ya kuwa Admin wa Simu hivyo vitu utavisikia kwenye Samsung A Series na Ndugu zake na Tecno na wadogo zake
iPhone za mkopo zipo pia mbona.
Nenda Mlimani City pale utapata hiyo huduma kama unataka iPhone za mkopo.
 
Hivi huwa inakuaje kwa mtu unakuwa proffessional kiasi cha kuvunja kila simu, mi nilitaka kutumia simu isiyovunjika, lakini kuna watu wanasema eti hii itel a100c ni ya kuvunjia kwa vidole tu, watu hawana jema lakini😔
Code zinatoka huko huko waliko isuka isivunjike. Yani ndani kwa ndani wanauzwa ramani na inamfikia saidi mafyekeche.
 
Ninachojiuliza hizi simu wanazitoa wapi? Kwamba wanaenda samsung wanawambia tutengenezee simu ya Mkopo yani inakuaje na faida wanaipataje maana hawa wanaoztoa hizi simu walikuja moja ya maduka yangu kutaka kuniachia SIMU nikopeshe tumepga hesabu Brand nazotaka na zinazotoka Mzigo umekuja wa Mil.8

Na wamenambia wananletea sitoi hata sh tano.... hiii imekaaaje yani ananletea mzgo wa 8m

Yeye aliununua kwa cash au nae alikopeshwa..hii kitu sijaielewa kwakweli
Dilunia ni ya kuchangamkia fursa kama inalipwa usizubae chukua mzigo. Uzuri wa SERIKALI yetu kero zikiwa nyingi Huwa wanapiga nyundo kama kwenye vile vi app vya kukopesha kama TALA, na hasara haimpati mtanganyika inabaki kwa kampuni.

Baadae kampuni ikishitaki watashitakiana na serikali kwa kusababishiana hasara

Who knows? Unaweza kupokea mzigo Leo kesho serikali ikasitisha na ukabaki na mzigo wako buuure kabisa
 
Inatoka hiyo
Mkuu kuna SAMSUNG A50 ya WATU hii inatoka
Dilunia ni ya kuchangamkia fursa kama inalipwa usizubae chukua mzigo. Uzuri wa SERIKALI yetu kero zikiwa nyingi Huwa wanapiga nyundo kama kwenye vile vi app vya kukopesha kama TALA, na hasara haimpati mtanganyika inabaki kwa kampuni.

Baadae kampuni ikishitaki watashitakiana na serikali kwa kusababishiana hasara

Who knows? Unaweza kupokea mzigo Leo kesho serikali ikasitisha na ukabaki na mzigo wako buuure kabisa
Si zitakua makopo tu maana hazitofanya kazi bila kufunguliwa...
 
Makampuni ya sim za mikopo hukata insurance.....so ikipotea au kutolewa app ya mkopo bima huyalipa makampuni
Ooh! hii nayo inaweza ikawa njia ya kujiamini na kufungua maduka haya mengi.
 
Back
Top Bottom