MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Nice to see you my Nigga ,keep enjoying your my mentor and my low key boss, now I'm enjoying the pussy through the idea you introduced inside me .Kuna ambazo hazitoki au Zote zinatoka?
Dah Nyampulukano ? Nilifika sengerema mjini kununua mpunga nitunze kwenye magahala yenu nikaibiwa mtoto wa mjini na wakala ,nikaambiwa niende kwa mganga Nyampulukano karibu na secondary ya nyampurukano nikaishia kulala na yule mama mganga nikarudi zangu Dar na maumivuMtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu
Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida
Swali linakuja, makampuni haya yana mpango gani na watu wa aina hiyo, wasiwe wanaandaa adhabu kali sana pasi na kuutaarifu ulimwengu tukaja kushangaa watu wanapotea kusikojulikana, akiwemo mwanangu! Na je, serikali imejipanga vipi kuwatetea watu wake pindi makampuni haya ya ovyo yatakapowasha hasira zao?
Kuepuka kuingia kwenye mkenge, nimeamua kujikopea zangu ka Itel A100C kwa sababu mkopp wake hauvunjiki ili hata nikiingiwa tamaa za kuvunja, usivunjike
Labda nivunje kioo!
We unaweza kununua simu moja kwa pesa ya kununulia simu mbiliInasikitisha Sana.
Kwanini ukope halafu uende kutoa Lock? Mnaua biashara za watu.
Tuishawishi serikali iwafukuzie mbali hawa mabeberu na makampunu yao, kwanza wanaua soko la simu Kariakoo, kumbuka watu wanalipa kodi kuagiza simu njeKazi iendeleee🙏🙏🙏
Naskia brand kubwa kama samsung na iphone zinatoka, halafu simu za kimaskini kama itel na infinix hazitoki. Hii ni maajabuKuna ambazo hazitoki au Zote zinatoka?
Yani serikali ijipange kuwatetea wahalifu?Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu
Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida
Swali linakuja, makampuni haya yana mpango gani na watu wa aina hiyo, wasiwe wanaandaa adhabu kali sana pasi na kuutaarifu ulimwengu tukaja kushangaa watu wanapotea kusikojulikana, akiwemo mwanangu! Na je, serikali imejipanga vipi kuwatetea watu wake pindi makampuni haya ya ovyo yatakapowasha hasira zao?
Kuepuka kuingia kwenye mkenge, nimeamua kujikopea zangu ka Itel A100C kwa sababu mkopp wake hauvunjiki ili hata nikiingiwa tamaa za kuvunja, usivunjike
Labda nivunje kioo!
Na wao ni wahalifu. Haiwezekani umkope mtu simu halafu arejeshe pesa ya kununulia simu mbili za aina hiyo. Halafu ni kwanini ukikaribia vibanda vyao wakuvute vute, huo si utekaji nyara?Yani serikali ijipange kuwatetea wahalifu?
Mkopo wa simu ni mkopo kama mikopo mingine
Ukikopa simu na kukimbia wewe ni mwalifu kama wahalifu wengine ukikamatwa lazima uadhibiwe
Simu zinauzwa bei rahisi sana huko China, simu ya laki 2 dukani kkoo China unaweza kupata kwa elfu 20Ninachojiuliza hizi simu wanazitoa wapi? Kwamba wanaenda samsung wanawambia tutengenezee simu ya Mkopo yani inakuaje na faida wanaipataje maana hawa wanaoztoa hizi simu walikuja moja ya maduka yangu kutaka kuniachia SIMU nikopeshe tumepga hesabu Brand nazotaka na zinazotoka Mzigo umekuja wa Mil.8
Na wamenambia wananletea sitoi hata sh tano.... hiii imekaaaje yani ananletea mzgo wa 8m
Yeye aliununua kwa cash au nae alikopeshwa..hii kitu sijaielewa kwakweli
Kama bei kubwa jichange kwenye kibubu ikifikia kiwango halisi nenda kanunua dukani bila mkopo.We unaweza kununua simu moja kwa pesa ya kununulia simu mbili
Hakuna mtanzania mwenye mpango wa kukopa simu. Ni ushawishi wao tu, kwani wasingetuwekea yale maspika ya simu za mkopo kwa gharama nafuu sie tungeshawishuka vipi kuingia mtegoni
Kuna mahali wanakopesha simu, wakati unafanya process unapatiwa futari na soda bure, huu sio ushawishi?
Inasikitisha sana kwa kweli.Hii nchi kila mtu ni mwizi, tapeli na muharamia. Ni ngumu sana kuendelea kama una raia wana akili za namna hii maana hata viongozi wanatoka kwenye jamii hii hii ya watu waovu. Acha mzungu aendelee kuitawala Dunia
Dahhhhhh enzi za pizzo na Nzegela ilikuwaga ya motoNyampulukano nimesoma pale high school,nimepakumbuka sana.
🤣🤣Oyaaa weeee oya weeee mwanetu mwamba sana 🤣🤣🤣🤣Hii kitu sio hapa tu hata india nimekaa india miezi 7 niliyo yaona afadhali ya hapa kule sio powa kila mtu anatumia simu ambayo kavunja mkopo ila mie naona wenyewe hupata faida pale mtu anapotoa kianzio tu next ni balaa watu hawa malizi deni ni mwendo wa unlock tool mixer baypass sio powa afu na siku hizi zile app za ku unlock ni bei rahisi sana