Hivi makampuni ya simu za mkopo yana mpango gani na simu zinazoondolewa mkopo?

Leta kisa cha kumla mganga kwenye uzi wa rikiboy
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MIMI NAKOPESHA SIMU ZA MKOPO KUANZIA A06, A07, A16,A17 KWA WATU AMBAO WANAPENDA SIMU ZA MKOPO NI DM. KIANZIO ELF50 KWA A06,A07

KITAMBULISHO CHA NIDA
LESENI YA UDEREVA
KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA
 
Dah, umeileta hii taarifa yako kwa mtindo wa kichesho sana mkuu.

Monetary doctor simu za mkopo zipo!
Kuna Father amekuja na A05 anasema aliuziwa na kijana mtaani kwake , complain yake anasema simu imemuandikia locked baada ya kurestore nikamwambia hiyo ilikuwa na mkopo wakatoa mkopo kwahyo ulivyo restore ndoumeharibu akasema naomba unielekeze wanapapotikana hao watu credit ambao wameifunga hii simu yangu nikamwambia hiyo ni case kubwa inabidi ujiandae akasema wew nielekeze tu ofis hayo mengine niachie mim nikamuelekeza kuna branch wanakopesha simu sijui ni nn kilitokea huko ila mzee ni taita kinomaπŸ™Œ
 
Kifaa kama simu si cha kununua kwa mtu tena usiymjua. Bora utoe pesa ndefu ununue tambo lako jipya.

Watu wengi sana wanalizwa kwa mtindo huu.
 
Nani anaweza kuondoa lock simu ya mkopo? Nipe namba nikupigie unisaidie kuondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…