Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hivi hawa CCM walishatuona maboya?
Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima.
Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa anazotumia kuzunguka si zingejenga shule kibao?
Huyu Makonda mwenye mikwara mbuzi majukwwani mbona hajaokoa jahazi la watanzania kuibiwa?
Bora siku moja Chadema ikamate dola.