Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hata hao wezi wa 40M ni geresha tu hakuna anachofanya zaidi ya makeleleKuna tija gani, anazunguka kusumbua wezi wa 40m huku Kuna ripoti ya CAG yenye upotevu wa mabilioni na hakuna hatua yoyote ya maana imechukuliwa. Au Bado mnaamini watu ni wajinga wa kuamin maigizo ya kitoto?