Hivi Makonda amepotelea wapi? Mbona PM Kassimu anahaha kupambana na mafisadi dagaa kila kukicha?

Kuna tija gani, anazunguka kusumbua wezi wa 40m huku Kuna ripoti ya CAG yenye upotevu wa mabilioni na hakuna hatua yoyote ya maana imechukuliwa. Au Bado mnaamini watu ni wajinga wa kuamin maigizo ya kitoto?
Hata hao wezi wa 40M ni geresha tu hakuna anachofanya zaidi ya makelele
 
Binya kende zako wezi wasiibe tena vp kamanda mchovu kesho ya kujitoa Chadema haijafika?
 
Hata hao wezi wa 40M ni geresha tu hakuna anachofanya zaidi ya makelele
Kabisa, yaani nimemdharau kishenzi. Anazunguka kupiga kelele Ili kuhadaa wananchi kuwa anafanya kazi, kumbe usanii mtupu.
 
Chadema hawa hawa walionyamaza kwenye Bandari
 
Eti ww umeiba na umefanya matumizi mabaya lazima tukuhamishe haiwezekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan mwizi anahamishwa kupelekwa sehem nyingine akapige hela tena[emoji1544]Utasikia na mikwara mbuzi takukuru mchunguzeni huyu mtu?!!!mda kidogo tu unasikia jamaa amehamia mkoa mwingine ama wilaya nyingine anapiga makodi ya wapuuzi sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…