Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi

Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Anasoma hapa ESAMi nadhani anaongeza elimu anasumbua sana huku njiro
 
Huyu Mganga Wetu Mushana leo na ww umeanza mambo ya uchawa kwa ajili ya nn chief,Pambana kutafta wateja ishi maisha yako mambo ya Makonda haya kuhusu chief!
 
kama wewe unajua alipo si umpeleke mahakamani ukapate hilo donge nono lililoahidiwa !!? au wewe huna shida na hela !!??
Kubenea mwenyewe kachoka tu hata milion 2 hana si bora baba kigan aendelee tu kula bata🤣🤣😂😂😂
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili

Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.

img_2_1644851153840.jpg

Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!

Ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Bata haliliwi gizani,angeonekana tu,kwa aina ya maisha aliyoyachagua si ajabu sasa hana makazi maalum na hakuna system inayoweza kurisk kumlinda mtu pasi na sababu za msingi!angekuwa anakula bata popote duniani angeonekana kwani bata huliwa hadharani
 
Analilia wapi hilo Bata?? Kumbuka aliwahi tamka hadharani kwamba hakuna binadamu hapa bongo anayekula bata kama yeye, tena hii aliitamka publicly, Leo ale bata mafichoni?? Pia jinai haifutiki ujue?
 
Bata haliliwi gizani,angeonekana tu,kwa aina ya maisha aliyoyachagua si ajabu sasa hana makazi maalum na hakuna system inayoweza kurisk kumlinda mtu pasi na sababu za msingi!angekuwa anakula bata popote duniani angeonekana kwani bata huliwa hadharani
Ngoja watetezi wake waje
 
Kesi aliyofungua Kubenea ni kesi ambayo ina dhamana.

Kesi aliyoifungua Kubenea ni kesi iliyokaa kiulipizaji visasi na ndio maana wahusika wakuu,yaani Clouds [emoji342] 360.
Walikwisha toa tamko la kujitoa wala kutohusika na kesi hiyo ya kubenea.

Makonda hawezi kimbia kesi kama hii ambayo anafika kusikilizwa na kurudi nyumbani.

Wachangiaji wengi humu ni wale wale team roho mbaya,ambao walikodisha magari na kupakia watu wao kwenda kumzomea Sabaya mahakamani.

Lakini yalipowarudi wao wenyewe,tunawaona humu mchana kutwa na usiku kucha.
Wakilalamika.

Ooh mwamba anaonewa......

Kubenea anatafuta kick ya kutafutia umaarufu baada ya kuporomoka kutoka Uheshimiwa hadi mtuhumiwa wa Pesa haramu Namanga.
Mawazo ya kidwanzi sana haya..
 
Shoga mwenzake yupo jela sasa hivi anapangiwa mda wa kulala.
 
Attachments

  • VID-20220214-WA0044.mp4
    1.6 MB
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi

Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
vipi yule mke wako mzuri ndo kakupa taarifa?
 
Hamna kesi hapo. Na Bashite sema ni kilza hii kesi Kubenea mzee wa shanga anaweza mlipa Bashite. Ulishasikia wapi DPP na DCI wakashtakiwa tena na mtu kama Kubenea. Mimi ningekuwa Bashite ningeshapeleka mawakili muda.
 
Kwani DPP na DCI wako juu ya sheria?
 
Wakati si milele...!
Ukiijua universe utaishi kwa raha na amani tele.
"Utafuteni kwanza uzima wa milele mengine yote mtaongezewa" Hii bible verse Ina maana kubwa Sana. Lakini wazee wa kilingeni ndio uwapotosha watu type hio hadi wanatenda upumbavu.
 
FB_IMG_1644910925047.jpg
 
Back
Top Bottom