Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Ha ha ha!!! Usitukane mkunga uzazi ungalipo!!!! Nyerere alishasema kuwa "cheo ni dhamana sitatumia cheo changu kwa manufaa yangu mwenyewe!!" Hii vijana wa zamani tulikaririshwa maana ilikuwa lazima uwe mwanachama wa TANU na huendi chuo chochote na hupati kazi kama siyo mwanachama wa TANU. Chama kilishika hatamu kweli kweli enzi hizo. Sasa hizi ndiyo anaelewa kuwa cheo ni dhamana apewayo mtu kwa kipindi fulani tu!!!!
Sisi chipukizi wa zamani tulifunzwa mengi
 
We acha tu!!!! Unakariri imani ya TANU na madhumuni kisha unaulizwa kwenye mtihani wa siasa. Vijana wa siku hizi wanadhani watakufa na vyeo vyao.
Vile vyuo vya siasa vilikuwa na maana kubwa sana na lile somo la siasa mashuleni pia
 
Huko mitandaoni sasa..
IMG-20220210-WA0338.jpg
IMG-20220210-WA0339.jpg
 
Acha kuongea utumbo wewe??!!aliyekuambia makonda anajificha ni nani??!🙄🙄🙄🙄acha hizo wewe kilaza
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi

Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Kwa uandishi huu, lazima uwe na kichaa cha mimba au kichaa ndoa
 
Mkuu mshana haya mambo yana mwisho ndiomaana wakati jiwe anafanya atakavyo kuna watu walisema haya yana mwisho na kweli mwisho ulifika na maisha yanaendelea kama kawaida kwa watesi wake
 
Acha kuongea utumbo wewe??!!aliyekuambia makonda anajificha ni nani??!🙄🙄🙄🙄acha hizo wewe kilaza
kama wewe unajua alipo si umpeleke mahakamani ukapate hilo donge nono lililoahidiwa !!? au wewe huna shida na hela !!??
 
Mkuu mshana haya mambo yana mwisho ndiomaana wakati jiwe anafanya atakavyo kuna watu walisema haya yana mwisho na kweli mwisho ulifika na maisha yanaendelea kama kawaida kwa watesi wake
walisema haya yana mwisho na kweli mwisho ulifika na maisha yanaendelea kama kawaida kwa watesi wake[emoji848][emoji2827]
 
Last week nimemwona makonda pale koffee kaffee kaunda road amenenepa hatar hana stress hio kesi kama haina mashiko kubenea anaforce ila hamna kitu atakachofanya.
Siku nyingine mfotoe uje na ushahidi hapa.
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili

Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.

Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
LeMutz hana habari naye siku hizi. Date yake ilisha expire
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!

Ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Bata gani hilo sasa unajificha kama kunguni hutaki mwanga
 
Kubenea Ametumwatu. Nyuma Yake wapo wahuni. Ambao hawakufuraia jamaa alipokua serikalini maana aliwanyoosha. Hata sabaya ni wahunitu ndio wamemchezea mchezo wakamweka korokoroni.
Kama hana kisa, mahakama itamuweka huru. Iwe ni wahuni au la, kama alifanya uhalifu, sharti aadhibiwe! Ukuu wa mkoa au wilaya sio ujambazi!
 
Back
Top Bottom