Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Ngoja apost za mwisho mwisho kabla ajaenda kwa Sabaya[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu mbona anapost clip za nyimbo huko insta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja apost za mwisho mwisho kabla ajaenda kwa Sabaya[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu mbona anapost clip za nyimbo huko insta?
Akitoka MAFICHONI na kujitokeza Mahakamani atakutana na huo ushahidi, usihofu.Unajuaje kama hajatubu? una uhakika gani amesababisha yatima? kama una ushahidi unaonane ukiupeleka mahakamani
Ooooh, brains za bao la mkono siyo? Basi umeeleweka mkuuSoma ueleweke,hawa walipewa nafasi kwa brain zao na sio wale hopeless baada ya kuwatisha watu
Tulia wewe tunaendelea kuwazoomm kwa mbaliiiMwingine yuko A town, wewe unasema O'bay, nani yuko sahihi? Kwa kutangazwa tu anatafutwa na mamlaka rasmi ya mahakama inatosha kumdhalilisha.
The higher you climb, the harder you fall.Ukipanda juu kifuatacho ni kushuka chini
Kubenea Ametumwatu. Nyuma Yake wapo wahuni. Ambao hawakufuraia jamaa alipokua serikalini maana aliwanyoosha. Hata sabaya ni wahunitu ndio wamemchezea mchezo wakamweka korokoroni.Si aende mahakamani? Kwani wito ni wa Kubenea au wa mahakama?
Wamekuwepo hata kabla ya bao la mkonoOoooh, brains za bao la mkono siyo? Basi umeeleweka mkuu
Aaah wapi matendo ya mtu ndio uamua awe upande upiMungu anajua, unaweza kumuhukumu kua mtenda dhambi halafu siku hiyo unaishia motoni mwenzenu anakua mbinguni ndio mtashangaa
I KNOW AND I AM CERTAIN OF WHAT I AM WTITING ABOUT! May be you do not know or you were still living upcountry when SIRRO was RPC in charge of Dar es Salaam Region and Bashite ws the RC then!!!!Are you sure with your words? Au ni hisia za infinix?
OkayWamekuwepo hata kabla ya bao la mkono
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema
Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha
Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba kiongozi tuko nawe hadi mwisho.
Tulifurahi pamoja, tutalia pamoja.
Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari.
Na wewe leta ushahidi kama kweli yupo mafichoni!trash yaani takataka!Wewe ni MKEWE AU HAWARA WAKE? Mbona unalazimisha kuleta taarifa zisizo na uthibitisho wowote ule? Leta uthibitisho mkiwa naye hapo chumbani tuone.