Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Maraisi wa jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maraisi wa jela
Mbona Mavunde,Nape,Makamba, Ridhiwani wapo vizuri.Shida ni yule Bwana alitaka watu wa kufanana na yeye akiamini angeweza Pambana na Nature akapasuka msamba.Hawa jamaa pamoja na Ally Hapi wameharibia sana vijana wenzao kwa kweli. Yaani hawa kama sampuli ya vijana waliopata madaraka, wameonesha kwamba vijana wakipewa madaraka/ uongozi wanakuwa hopeless.
Ni aibu sana kwa kijana yeyote kujinasibisha na hao wawili kwa namna yoyote ile
Duh[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827]Huyu ni Nyani mzee sana" Chui ,Simba , Nyoka na wanyama wakali wote kwenye msitu huu wamechemsha kwake. ...
Halafu wewe unakuja kirahisi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijaelewaKuna mkanganyiko hapa
Kuna mkanganyiko hapa
Wewe unaruhusiwa nenda!Haruhusiwi kuingia USA.
Trash yaani taka taka.laana ya gwajiboy hiyo, haijatenguliwa, gwajiboy alisema anamfuta kisiasa hapa duniani na mbinguni. sasaivi jamaa hata hajulikani anaishi wapi. kipindi kile alikuwa ametawala angani na ardhini, mitandaoni na kwenye mass media zote. kiburi kilipanda juu, kumbe ajikwezaye atashushwa na ajishushaye atakwezwa, Neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, Mungu huwapiga weney kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema.
miaka fulani kabla nikiwa nafanya kazi kwa kaisari, nilitembelea sehemu fulani kwa mtu ambaye alitakiwa kuwa mdogo kwangu, alitakiwa aniite boss na anisikilize, yeye akanipanda juu na akawa hataki kuniita boss na kutaka mimi nimwite yeye boss. awali nilitaka nishindane ili nimwamuru aniheshimu, moyoni nikashuhudiwa kuwa "mwache", usitafute heshima ya wanadamu, tafuta heshima ya Mungu, Mungu akiamua kukuheshimu, hao wanaokudharau atawashangaza. niliamua kukubali yaishe, nikawa namheshimu vile yeye anataka. haikuchukua muda, aliwekwa chini ya miguu yangu forever. na ikawa embarrassment kwake. kuna wakati yule unayemdharau ndio boss wako wa kesho, tena aliyeshika destiny yako. ukijishusha Mungu atakuinua mwenyewe as long as una haki, its just a matter of time. pia ukijiinua na kujifanya mungumtu, its just a matter of time, Mungu atakushusha hadi kuzimu. kati ya sheria/principles ambazo Mungu anazifuata hadi leo hii, ni kwa mtu mwenye kiburi, anayejitukuza na kujiinua, Mungu ameahidi kumshusha chini kabisa, kwasababu anayestahili kuabudiwa na kutetemekewa ni yeye Mungu tu.
Mbona Kigwangalla hana madaraka?why jamaa tu?hivi wewe kwa akili yako uwe mfanyakazi pale B.O.T halafu ukaondoka au ukaondolewa B.O.T lets say ukaanza kufanya kazi sehemu nyingine ambayo kihadhi ni ndogo au usipate kazi kabisa ukabaki mtaani tu je utaishi maisha yale yale kama zamani ulivyokuwa B.O.T??Watanzania wenzangu tufiche ujinga kama tumeshindwa kuuondoa.Kwa akili yako ya uchawa na sasa kunguni unajiona una maarifa kuliko woote humu? Kwa taarifa yako hata kama bashite asinge pelekwa mahakaman bado taabu angekuwa nayo hata kama sofa na kitanda anacho lalia ni maburungutu ya fedha, hii ni kutokana na maisha aliyoishi akiwa kiongozi wa umma.
Watu wanaposema anaish kama digdigi haimaanishi kwamba baba Keagan hana hela hapana au hana nyumba au hawez hudumia mchepuko au hawez tunza watu wa Kolomije la hasha, ila zile mbwembwe majivuno na kuamua atakalo kwa yeyote hadi kufikia kupora watu mali zao hadi kunyang'anya watu haki ya kuishi hayo ndiyo yanayomtesa kwani hana madaraka tena 7bu aliishi as if there is no 2morrow.
Kwa hiyo wewe kama ulikuwa mchepuko wake uukafaidi ukanunuliwa na IST na huenda bado unakula bata na baba Keagan endelea lakini haya unayoyaona humu ndani ni mawazo ya watu ambao wamo waliokuzidi kimo, uchumi, elimu, maarifa etc na hii yoote ni reflection ya maisha ya makonda akiwa madarakani.
Kwahiyo Mh.Mbowe aliyepo mahabusu yapata muda sasa na yeye anafanyiwa hivyo hivyo?FICHA UJINGA.Amejitokeza insta kwa kiburi na dharau, ngoja wakalipunguze hilo wowowo jela ndo atajua ndumba sio KILA kitu
View attachment 2113643
Tafuta pesa, mtu mwenye pesa hawezi kutokwa povu hivi.Kwa akili yako ya uchawa na sasa kunguni unajiona una maarifa kuliko woote humu? Kwa taarifa yako hata kama bashite asinge pelekwa mahakaman bado taabu angekuwa nayo hata kama sofa na kitanda anacho lalia ni maburungutu ya fedha, hii ni kutokana na maisha aliyoishi akiwa kiongozi wa umma.
Watu wanaposema anaish kama digdigi haimaanishi kwamba baba Keagan hana hela hapana au hana nyumba au hawez hudumia mchepuko au hawez tunza watu wa Kolomije la hasha, ila zile mbwembwe majivuno na kuamua atakalo kwa yeyote hadi kufikia kupora watu mali zao hadi kunyang'anya watu haki ya kuishi hayo ndiyo yanayomtesa kwani hana madaraka tena 7bu aliishi as if there is no 2morrow.
Kwa hiyo wewe kama ulikuwa mchepuko wake uukafaidi ukanunuliwa na IST na huenda bado unakula bata na baba Keagan endelea lakini haya unayoyaona humu ndani ni mawazo ya watu ambao wamo waliokuzidi kimo, uchumi, elimu, maarifa etc na hii yoote ni reflection ya maisha ya makonda akiwa madarakani.
Anza kutafuta Kazi nyingine boss wako makonda mwaka haushi atakuwa jela.Kama unamdai kama Shamba boy wake wahi mapema akulipe.Kwahiyo Mh.Mbowe aliyepo mahabusu yapata muda sasa na yeye anafanyiwa hivyo hivyo?FICHA UJINGA.
Ni dhambi kubwa Sana kusababisha wajane na yatima kwenye JamiiWewe huna dhambi?
Naona ndio huyo huyoEbu chungulia kilingeni je wanafana hawa anaekamata sima ni Henry Kisanduku na aliyeketi mahakamani ni gilbert kalanje
View attachment 2113656
View attachment 2113660
View attachment 2113664
View attachment 2113666