Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
 
Ndungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.
 
Leo ndio nimeamini hili chaguo la professor janabi ni la mzee wa msoga kwasababu kwa maana ni mshikaji wake sana ndio maana amemkata yule jamaa wa Benjamin William mkapa hospital.
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Jamaa anaenda kuabika vibaya , yaan unatangazwa weeee alafu unapigwa chini
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Mwendazake mimi nilistukia tu amechaguliwa. Sasa huyu kampeni kubwa sana. Asioochaguliwa ataweka wapi sura yake? Pesa inayotumika kumnadi?
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Na Je kwanini Ndugulile alikufa, kilichomuua ni nini?
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
wa dini yangu mdini wa wazi wazi...mitanganyika sisi imejaza mikamasi kwenye mibichwa eti ni ubongo.To me Hilo dogo, sasa la kuuza Tanganyika bado mitanganyika sisi imelala na mautoko kichwani eti ni ubongo
 
Back
Top Bottom