Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Hii helaa ya kuzunguka nani analipaaaa swali chokoziii
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
This guys, if you scratch them a bit deeper, they are Islamist inside, they are not campaigning out of meritocracy, it's just that he is their fellow Muslim! Ndugulile, being not part of CCM establishment, and bring Christian, they hated him,
 
Ndungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.
Hawezi kupata za ndaaaani kabisa tukutanehapa soon after uchaguzi
 
Maana naona kama ni jambo limekuwa kubwa Sana. Na sijui Hela za Kampeni anatoa yeye au zinachotwa toka kwenye Hazina yetu!?
Unafikiri wataichota wapi kwingine mkuu kama hadi magoli ya Simba na Yanga yananunuliwa kwa fedha za umma?

Mlipakodi wa Tz ni kiumbe anayebeba mizigo mikubwa na useless kuliko kiumbe chochote kile ulimwenguni, ni vile mzigo wake haonekani kwa kutumia macho bali kwa kutumia akili, na bahati mbaya sana zaidi ya 90% ya walipakodi wana upofu wa akili, % chache zilizobaki ni rahisi kuzizuia kwa njia haramu iwe kwa propaganda , kwa moto, kwa ncha ya upanga au kwa risasi.
 
Mkuu basi kwa heshma na taadhima tumumbee,,maana nafasi hiyo ikivaki hapa TZ ni heshima kwetu
Nimuombee mtu wa namna hiyo ambae anatumia jasho langu kujinufaisha kuzunguka nchi za watu huku akipata executive treatments, no way!.. Mbona mwenzie hakutumia nguvu kiasi hicho.

Kizuri chajiuza mkuu.
 
Waziri wa afya,Mwalimu Jenister sijamsikia akiongea kile kimombo chake ,kumuombea Janabi kura😂
 
Nadhani kwasababu alikuwa mwanasiasa ilikuwa rahisi kwake ila huyu wa kupinga kampeni ya kula hajulikani kimataifa.
Hii kwa akili za kawaida haina mashiko!

Unataka kusema Africa nzima Ndugulile ndiye Dr wa kwanza mwanasiasa aliyekuwa anakidhi viwango kiasi iwe kwake rahisi kuteuliwa kushika hiyo nafasi?
 
Ndungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.
VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
 
Back
Top Bottom