Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Angalia CV zao utagundua kitu mzee.
 
9 May 2024
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb) akizindua rasmi Kampeni ya Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Ukurugenzi wa Afrika wa Shirika la Afya duniani...

View: https://m.youtube.com/watch?v=laO-AKY9bW0

Uzito wa Kampeni ulikuwa mkubwa kiasi hiki. Yaani Kwa mfano ni Marais wa nchi ngapi walitembelewa au kupigiwa simu!?
 
TOKA MAKTABA :
09 May 2024
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) akizungumza na vyombo vya habari baada ya uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Dkt. Ndugulile kugombea nafasi ya Ukurugenzi wa Afrika wa Shirika la Afya duniani WHO...


View: https://m.youtube.com/watch?v=5TuNUGrLxok


09 May2024
Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) akizungumza na Vyombo vya Habari muda mfupi baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb) kuzindua Kampeni ya Tanzania kugombea nafasi ya Ukurugenzi wa Afrika wa Shirika la Afya duniani WHO ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=rRu3LuBKObI

03 September 2024
Dr Faustine Ndugulile ambaye ameshinda nafasi ya Mkurugenzi kikanda wa Afrika katika Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye Clouds 360

View: https://m.youtube.com/watch?v=pyPQDHnkBpY
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Yule alisimama miguuni mwake mwenyewe tena kimyakimya inaonekana alikuwa so smart
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Nepotism & religionism kwa sana
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Kama ulifuatilia alichoongea JK kwenye msiba wa Ndugulile alidai kumpigia kampeni kwenye ukurugenzi wa kanda WHO.

Nguvu inaaonekana kuwa kubwa sababu Janabi&JK hawakukutana barabarani ni familia ile.
Hata Ngoyai alisemaga vivyo hivyo lakini likasanuka !
😳 !
 
Back
Top Bottom