Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
relax bila kwikwi gentleman šQuid Pro Quo.......
relax bila kwikwi gentleman šQuid Pro Quo.......
ana maanisha watu wana nguvu gani ya ushawishi kimataifa.
relax bila kwikwi gentleman š
Hivi alienda Mh. Tulia ama Mh. Jenista MhagamaNdungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.
Professor Janabi
Ni Ndugu Yetu Katika Imani Tutahakikisha Anapata Hiyo Nafasi TutAuza Hata Ardhi
Yes,šššššš¤£
kwa janabi ni ngumu sana maana anakosa political experience kwenye hii part, ndungulile alikua full package clinical, public health and political experience. Sema huwezi jua anaweza toboa si unajua mzee wa mjini JK katinga kumpambaniaHata taarifa ya kugombea ni wachache walijua,alipopata ndiyo ikawa story kubwa.....ila huyu Janabi, sijui kama atatoboa
Ukiona kitu kinapigia debe na JK, ujue hakifai na hakiuziki!Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Ni sawa tu na fisi, nguruwe hafai kwa chakula.Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza
Uliwahi kuona Nguruwe anauzwa kwenye minada ya mifugo?
Ndani ya CCM kuna mambo mazito na wananchi hawaelewi wanabaki kuwashangilia tuu.Haijulikani mpaka leo...halafu jamaa alikuwa fit tu. Kama kuna namna hivi na kifo chake.
Hivi Kwanini?Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza
Uliwahi kuona Nguruwe anauzwa kwenye minada ya mifugo?
Wacha umazwazwa wewe!Kifupi ni kwamba hata hiyo fursa ya uko,Ndugulile aliiona mwenyewe,maana si unajua wengine uku wapo bize na mapozisheni ya kula usawa wa kamba?
Baada ya kushinda ndo wakakimbilia kwenda kuuliza hivi akifa huyu tutapewa nafasi?,walivojibiwa ikawa historia kwa bwana fau.
Bwana fau, alitangulizwa na watu wetu wenyewe kwa ajili ya hiyo nafasi.
Kikwete alisema alimpigia chapuo Ndugulile na pia Ndugulile alikuwa mwanasiasa (Yaani Bora kwenye Ubora)...Sio kama Janabi ni Doctor Tu Ila sio mwanasiasaHizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Hatoboi wanapeleka mambo ya CCM WHOHata taarifa ya kugombea ni wachache walijua,alipopata ndiyo ikawa story kubwa.....ila huyu Janabi, sijui kama atatoboa
Janabi aliwasaidia march 2021. Lazima walipe fadhilaHizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!