Umeshasahau Hawa watatu walienda hija pamoja kutubu dhambi?Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!