Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

CV ya Prof imesheni ubobezi. Ni mahiri wa karibu maeneo mengi.

Ubobezi wake mwingi uko ndani ya CV na mwingine umesahaulika. CV haiwezi kuweka wazi kila kitu.

Prof anajua sana kujenga hoja, na ni mwalimu mzuri wa afya zetu. Anatukumbusha sana mambo mengi ya msingi kwenye namna ya kuangalia ubora wa afya zetu.

WHO anaweza kujiuza bila shaka yoyote. Sijajua mengine, ila yanafikirisha.
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Waislamu ni watumwa wa mabeberu daima milele na ndiyo maana marais waislamu tz ndiyo wanaongoza kwa kuabudu mabeberu na waarabu ushahidi ni chanjo feki ya korona
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Waangalie... Anaweza kupata alafu na yeye kawahi
 
Ndani ya CCM yenyewe basi ni hatari, yaani kifo nje nje na pengine huu uchawa ni mbinu ya kujilinda usichomolewe roho.
Leo umenifumbua macho kuhusu uchawa... Aisee mji mzito sana huu!!
 
Ndani ya CCM kuna mambo mazito na wananchi hawaelewi wanabaki kuwashangilia tuu.
Tukianzia kwa kina Kolimba, tunakuja majaribio ya kina Mangula, leo tunasikia ya Ndungulile na kauli ile ya JK kuhusu kutoacha maji ya kunywa mezani wakati wa vikao. Ndani ya CCM yenyewe basi ni hatari, yaani kifo nje nje na pengine huu uchawa ni mbinu ya kujilinda usichomolewe roho.
Msajili alipaswa kukitangaza hiki chama kama cha kigaidi

Quid Pro Quo......😂😂😂😂😂
 
Janabi anaandaaliwa ili akatumike wapi...

Nabet kuna jambo linaandaliwa...

Na ni baya kwa pan africanist leaders.
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Labda kama ulikuwa hufuatilii,ndugulile alipigiwa kampeni sana na viongozi wote kuanzia mkuu wa nchi walishiriki
 
Leo ndio nimeamini hili chaguo la professor janabi ni la mzee wa msoga kwasababu kwa maana ni mshikaji wake sana ndio maana amemkata yule jamaa wa Benjamin William mkapa hospital.
Tuunge doti
 
Mimi namuombea yule wa guinea ashinde maana janabi akishinda ataeneza sera yake ya kunywa chai peke yake siku nzima kitu ambacho hakina mashiko
 
Back
Top Bottom