Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Aise ha ha ha ha haKizuri chajiuza na kibaya chajitembeza
Uliwahi kuona Nguruwe anauzwa kwenye minada ya mifugo?
Maana naona kama ni jambo limekuwa kubwa Sana. Na sijui Hela za Kampeni anatoa yeye au zinachotwa toka kwenye Hazina yetu!?Hata taarifa ya kugombea ni wachache walijua,alipopata ndiyo ikawa story kubwa.....ila huyu Janabi, sijui kama atatoboa
Hiyo Kodi yako mkuuMaana naona kama ni jambo limekuwa kubwa Sana. Na sijui Hela za Kampeni anatoa yeye au zinachotwa toka kwenye Hazina yetu!?
Aisee!!Hiyo Kodi yako mkuu
Nadhani kwasababu alikuwa mwanasiasa ilikuwa rahisi kwake ila huyu wa kupinga kampeni ya kula hajulikani kimataifa.Hata taarifa ya kugombea ni wachache walijua,alipopata ndiyo ikawa story kubwa.....ila huyu Janabi, sijui kama atatoboa
😀😄😄😃😆... ila huyu wa kupinga kampeni ya kula hajulikani kimataifa.
Jamaa anaenda kuabika vibaya , yaan unatangazwa weeee alafu unapigwa chiniHizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Mwendazake mimi nilistukia tu amechaguliwa. Sasa huyu kampeni kubwa sana. Asioochaguliwa ataweka wapi sura yake? Pesa inayotumika kumnadi?Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Na Je kwanini Ndugulile alikufa, kilichomuua ni nini?Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Wizi wa Kura WHO hawana kuleNdungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.
Kifo cha Ndugulile kilisababishwa na nini?Mwendazake mimi nilistukia tu amechaguliwa. Sasa huyu kampeni kubwa sana. Asioochaguliwa ataweka wapi sura yake? Pesa inayotumika kumnadi?
Haijulikani mpaka leo...halafu jamaa alikuwa fit tu. Kama kuna namna hivi na kifo chake.Kifo cha Ndugulile kilisababishwa na nini?
wa dini yangu mdini wa wazi wazi...mitanganyika sisi imejaza mikamasi kwenye mibichwa eti ni ubongo.To me Hilo dogo, sasa la kuuza Tanganyika bado mitanganyika sisi imelala na mautoko kichwani eti ni ubongoHizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!