kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi?
2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao?
3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ?
Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz;
1. Wameuawa wapinzani
2. Wameuawa wana ccm
3. Wameuawa waandishi
4. Wameuawa in mass raia wa kawaida,
5. Wameuawa waandamanaji
6. Wameuawa waliokuwa majumbani
7. Wameuawa wamama na kuacha watoto
Wameawa waume na kuacha wake na watoto
8. Wameuawa mawakili
9. Wameuawa polisi
10. Kauawa mwanajeshi
11. Wameuawa madaktari
Nk. Lakini ikumbukwe maandamano yameletwa ccm kuteka mchakato wa uchaguzi unaohusisha inchi na wananchi wote.
Sasa je maridhiano ni katiyq nani na nani na kuhusu nini?
Ushauri. Achaneni na maridhiano leteni mezani Rasimu ya Warioba