Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.

Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia.

Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama

Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
Ni mgonjwa maana anachoongea leo sicho anachoongea kesho

Infact jamaa ni tapeli, mgonjwa na pedophile
 
Mtu anayekaa chumba cha uani kwa shemeji yake huku akitumia simu ya mkopo na Wi-Fi iliyolipwa na Basha wa dada yake analeta thread ya kumjadili Trumph kuwa hana akili !
 
Trump ni mkweli na muwaazi afichi mambo anaweka hadharani ni tofauti na wanasiasa wengi tuliyowazoea, Trump hana utofauti sana na hayati Magufuli. Mara nyingi watu kama hawa huwa na akili nyingi hivyo wenye akili ndogo huwaona hawa watu hawana akili.
 
Inashangaza sana kuona watu wanatumia nguvu kubwa kumjadili Donald Trump ambaye hata si rais wa nchi yako, lakini wananyamaza kabisa kuhusu watawala wa Afrika wanaokaa madarakani miongo mingi bila kuachia.
Kwa mfano, hebu tuanze na Yoweri Museveni. Huyu amekaa madarakani tangu mwaka 1986 hadi leo, karibu miaka 40. Lakini ajabu, watu wanaacha kujadili hilo na wanakesha mitandaoni wakichambua siasa za Marekani kana kwamba wao ndio wapiga kura wa huko.
Mkuu Trump ni Rais wa Dunia ndio maana anajadiliwa umeona madhara ya vita anajadiliwa yeye hao Marais wa Uganda wana madhara gani kwenye Dunia hii mtu kaanzisha vita hakuna kitu kinasafiri baharini kujadiliwa unaona ajabu aisee..
 
Kwa hiyo wewe una amini una akili kuwazidi mamilioni ya wamarekani waliomchagua?? Au unafikiri kule kuna wizi wa kura?
Wizi wa ura na usanii ndivyo vilivyomuwezesha huyu chizi fresh kuwa rais
 
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.

Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia.

Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama

Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
Nilijua ni mimi pekee ninaemuona yeye na washabiki wake kama kenge wa bwawa la mavi,
Haongei kitu kinachoeleweka,taarifa zao zimekaa kipuuzi puuzi tu
 
Trump ni mkweli na muwaazi afichi mambo anaweka hadharani ni tofauti na wanasiasa wengi tuliyowazoea, Trump hana utofauti sana na hayati Magufuli. Mara nyingi watu kama hawa huwa na akili nyingi hivyo wenye akili ndogo huwaona hawa watu hawana akili.
Pia ni muongo mkubwa tu asiyekumbuka hata asemacho tokana na akili ndogo
 
Mtu anayekaa chumba cha uani kwa shemeji yake huku akitumia simu ya mkopo na Wi-Fi iliyolipwa na Basha wa dada yake analeta thread ya kumjadili Trumph kuwa hana akili !
Ni kweli hasa kwa mtu, vinginevyo kinachojadiliwa kina mashiko
 
ni swala na persception tu, D.Trump hana tofauti na obama au clinton, matter of fact hakuna raisi wa USA ambaye haja-bomb nchi nyingine, tofauti ya Trump na hao wengine angalau Trump anasema ukweli kwamba USA inavamia kwa sababu inataka oil au sababu nyingine ambayo anaisema pia, ila masia wenu obama anawa sweet talk kwamba its about democracy na hiyo ndiyo tofauti, kwa hiyo mwenyewe unajiona '''very smart'' kwa kuwa unamuamini na kumpenda obama au clinton kwa kuwa wanakwambia unachotaka kusikia.

who killed gadafi kinyama namna hii? ni mtoto wa afrika, masia wenu, mwana demokrasia sweet talking obama, gadafi alikuwa hero wa afrika aliuliwa baada ya bombing iliyofanywa na obama na aliuliwa kinyama bora hata khamenei hakuna aliyeona mwili wake, lkn mbona haumuiti obama kichaa? bill clinton alibomb yugoslavia na kuuwa wengi sana tu, mbona haumuiti clinton kichaa? and dont get me started on the bushes

who killed gadafi? for sure not Tump, ni masia wenu mtoto wa afrika mwana demokrasia
View attachment 3555833

...
Nimeanza kumuelewa Trump,marekani ni ile ile tu wanafanya wanachotaka ila Trump anasema ukweli wakati wengine wanaficha

Ametusaidia sana kujua malengo sahihi ya marekani tofauti na wengine wanaong’ata na kupuliza
 
Trump yule sio kichaa yule ndio Raisi ambae wamarekani wanamtaka marekani huwa inahitajika mtu mbabe mbabe ndio huyo sasa kama nayoyafanya unaona sio sahihi basi wananchi wake wangeandamana nnchi nzima maana kwao kuna uhuru wa maoni ila marekani ni tulivu

Sasa wewe mkari wa mabwepande ndio unaumia
Kama hujui kheri unyamaze.
Raia Marekani wameandamana kupiga 90% ya sera za Trump kuanzia Tarrif war,ICE na hili la vita pia.

Au ulikua wapi maandamano yakiripotiwa ya mwaka juzi hadi mwaka huu kupinga maamuzi mengi ya Trump!??
 
Kwamba ww una akili kuliko walotengeneza hicho kiswaswadu ulichotumia kuingilia JF?😭😭
 
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.

Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia.

Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama

Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
Wewe ndo huna akili.

Jitafakari.
 
Umeshiba mihogo na mlenda uko unaropoka ropoka tu. We mwenye akili umefanya kipi cha spesho.
 
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.

Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia.

Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama

Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
Trump ni chizi, Netanyau ni Mhalifu.
 
Back
Top Bottom