The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.
Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia.
Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama
Nawasilisha baba wa wote baba yenu.