Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

Jamaa linasema wanafunzi waliouwawa Iran wameuliwa na Iran yenyewee unadhani yupo sawa huyu?
 
Trump yule sio kichaa yule ndio Raisi ambae wamarekani wanamtaka marekani huwa inahitajika mtu mbabe mbabe ndio huyo sasa kama nayoyafanya unaona sio sahihi basi wananchi wake wangeandamana nnchi nzima maana kwao kuna uhuru wa maoni ila marekani ni tulivu

Sasa wewe mkari wa mabwepande ndio unaumia
Huu anafanya trump siyo ubabe ni ujinga na upumbavu
 
Back
Top Bottom