Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

Ni mgonjwa maana anachoongea leo sicho anachoongea kesho

Infact jamaa ni tapeli, mgonjwa na pedophile
 
Mtu anayekaa chumba cha uani kwa shemeji yake huku akitumia simu ya mkopo na Wi-Fi iliyolipwa na Basha wa dada yake analeta thread ya kumjadili Trumph kuwa hana akili !
 
Trump ni mkweli na muwaazi afichi mambo anaweka hadharani ni tofauti na wanasiasa wengi tuliyowazoea, Trump hana utofauti sana na hayati Magufuli. Mara nyingi watu kama hawa huwa na akili nyingi hivyo wenye akili ndogo huwaona hawa watu hawana akili.
 
Mkuu Trump ni Rais wa Dunia ndio maana anajadiliwa umeona madhara ya vita anajadiliwa yeye hao Marais wa Uganda wana madhara gani kwenye Dunia hii mtu kaanzisha vita hakuna kitu kinasafiri baharini kujadiliwa unaona ajabu aisee..
 
Kwa hiyo wewe una amini una akili kuwazidi mamilioni ya wamarekani waliomchagua?? Au unafikiri kule kuna wizi wa kura?
Wizi wa ura na usanii ndivyo vilivyomuwezesha huyu chizi fresh kuwa rais
 
Nilijua ni mimi pekee ninaemuona yeye na washabiki wake kama kenge wa bwawa la mavi,
Haongei kitu kinachoeleweka,taarifa zao zimekaa kipuuzi puuzi tu
 
Trump ni mkweli na muwaazi afichi mambo anaweka hadharani ni tofauti na wanasiasa wengi tuliyowazoea, Trump hana utofauti sana na hayati Magufuli. Mara nyingi watu kama hawa huwa na akili nyingi hivyo wenye akili ndogo huwaona hawa watu hawana akili.
Pia ni muongo mkubwa tu asiyekumbuka hata asemacho tokana na akili ndogo
 
Mtu anayekaa chumba cha uani kwa shemeji yake huku akitumia simu ya mkopo na Wi-Fi iliyolipwa na Basha wa dada yake analeta thread ya kumjadili Trumph kuwa hana akili !
Ni kweli hasa kwa mtu, vinginevyo kinachojadiliwa kina mashiko
 
Nimeanza kumuelewa Trump,marekani ni ile ile tu wanafanya wanachotaka ila Trump anasema ukweli wakati wengine wanaficha

Ametusaidia sana kujua malengo sahihi ya marekani tofauti na wengine wanaong’ata na kupuliza
 
Kama hujui kheri unyamaze.
Raia Marekani wameandamana kupiga 90% ya sera za Trump kuanzia Tarrif war,ICE na hili la vita pia.

Au ulikua wapi maandamano yakiripotiwa ya mwaka juzi hadi mwaka huu kupinga maamuzi mengi ya Trump!??
 
Mzee WA mawigi upstairs hakuko sawa 😂
Nalog off Z
 
Kwamba ww una akili kuliko walotengeneza hicho kiswaswadu ulichotumia kuingilia JF?😭😭
 
Wewe ndo huna akili.

Jitafakari.
 
Umeshiba mihogo na mlenda uko unaropoka ropoka tu. We mwenye akili umefanya kipi cha spesho.
 
Trump ni chizi, Netanyau ni Mhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…