Hivi mashabiki wa mpira huwa mnashabikia nini haswa?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu, hivi nyinyi ambao ni mashabiki wa mpira mnapenda nini haswa????

Mathalani mtu anaposema yeye ni shabiki wa timu fulani mfano Arsenal huwa anaangalia nini haswa mpaka anaamua kuwa shabiki wa timu hiyo???Kama ni aina ya mpira wanaocheza bila shaka mpira unabadilika kulingana na aina ya wachezaji ambao wapo katika hiyo timu pamoja na mbinu za kocha, sasa inakuwaje mtu ni shabiki wa timu hiyo hiyo miaka nenda miaka rudi ,tangu miaka ya 70 huko mpaka leo ,yeye anashabikia timu hiyo hiyo, wakati hata wachezaji tu huama tena unaweza kukuta kikosi kizima kikaondoka kwenda timu nyingine lakini shabiki akaendelea kushabikia timu hiyo hiyo?????

Tena mara nyingi timu inapofungwa wanaoumia zaidi ni mashabiki kuliko wachezaji, wachezaji mara nyingi huwa wanaangalia pesa zao tu timu ifungwe isifungwe wao wanaona poa tu ,tena wakati mwingine hao hao wachezaji husababisha kwa makusudi timu kufungwa kwa kula njama na timu pinzani.

Binafsi sielewi nyinyi mnapenda mpira mnapenda nini haswa kwenye mpira.
 
Ni huba tu, mi binafsi sikuwahi kuwa na interest na mpira ila sasa ni shabiki mandaz wa kufa na kuzikana wa kikosi cha SIM8A
 
Baki kwenye udaku mkuu!
 
Football is all about passion,real football fans are passionate when it comes to teams they support,there are some reasons to support a certain football club.

1.Background
This include all success, number of titles won.
2.Culture of the team concerned.

Sometimes it comes naturally.Loyalty, Passion.
 
Mieleka
 
Ni mapenz tu kama unavyoweza kumpenda mwanamke/mwanaume.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…