The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,336
- 3,236
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Siku ina masaa 24. Wewe umechagua masaa mangapi katika hayo 24?Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Acha kufuatilia maisha ya mtu by the way hawajakuomba chakula.Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Jibu swali, sasa kama kiswahili umeshindwa kuelewa english Je?Acha kufuatilia maisha ya mtu by the way hawajakuomba chakula.
wenzako hata wakiwa wamelala wanaingiza pesa, hadi leo wewe unategemea kuingiza pesa ukiamka sioMashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Ndio halafu wengi ni bodabodaWanakujaga kula kwako?