HIVI MASHABIKI WA YANGA WANAFANYA KAZI SA NGAPI?

Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Siku ina masaa 24. Wewe umechagua masaa mangapi katika hayo 24?

Ushawahi kumwona dewij akijitwisha ngano? Wapo watu wa kufanya kwa niaba sio kila mtu umwone akifanya kwa mikono yake.
 
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
wenzako hata wakiwa wamelala wanaingiza pesa, hadi leo wewe unategemea kuingiza pesa ukiamka sio
kalaghabao
 
Ukiona mtu yuko kijiweni muda wote anapiga soga,ujue huyo yuko vzr shida zako sio shida zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…