Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

Kwani wakati wanaajiriwa hiyo bodi ya ITHIBATI ilikuwepo? Si waliajiriwa kwa vigezo walivyokuwa navypo wakati huo? Hao wataendelea kulipwa mpaka mkataba wao utakapoisha.
Wewe ungekuwa muajiri wao, ungeendelea kuwalipa!?
 
hii obsessives ya vyeti bongo ni ushamba sana, hizo nchi zilizoendelea wafanyakazi wa media hakuna ulazima wa kuwa na vyeti.
 
Wewe ungekuwa muajiri wao, ungeendelea kuwalipa!?

Sheria zinasemaje? Inabidi Bodi ya Ithibati iandikie Media House Kuwaondoa hao Staffs kwa kukosa sifa na hizo barua kutoka JAB zisainiwe na wahusika then nawaondoa.
 
Sheria zinasemaje? Inabidi Bodi ya Ithibati iandikie Media House Kuwaondoa hao Staffs kwa kukosa sifa na hizo barua kutoka JAB zisainiwe na wahusika then nawaondoa.
Kwa hiyo unaamini media house hazijapewa hayo maelekezo!? Ni wazi wamepewa ndio maana hawako kazini.
 
Kwa hiyo unaamini media house hazijapewa hayo maelekezo!? Ni wazi wamepewa ndio maana hawako kazini.

Hao Jamaa kurudi ni kazi sana ,inavyoonekana hawana vyeti vya form iv na diploma zao ni za vyuo vya kariakoo FOJI FOJI NANGAI ,ili waweze kupata Diploma from Accredited College inabidi waresit form iv wapate CREDIT then kupata Diploma ni fasta kwasababu tayari wanajua kila kitu ...KIMBEMBE CHETI CHA FORM IV....Naona muda wa kujisajili NECTA kwa kufanya mtihani wa FORM ushapita ,hao kurudi mpaka 2027 ndiyo watasikika tena labda wachukue VYETI vya form four vya watu wengine.
 
Wamewapa mtihani mkubwa kweli kweli.
 
Wamewapa mtihani mkubwa kweli kweli.
Sana kwa kweli.....Walizembea maana walipewa muda wa kurekebisha makosa.

1.Clayton Revocatus -Baba Levo -Wasafi FM
2.Burton Mwemba - Mwijaku -Crown FM
3.Maulidi Kitenge -Wasafi FM
4.Hillary Daudi Mtuta -Zembwela -Wasafi FM
5.Dina Marios -Efm
6.Sylvester Mjuni - Mpoki -Efm
7.Emanuel Mgaya - Masanja -Efm
8.Perfect Crispin - Mjini FM
9. Ally Masoud Nyomwa - Masoud Kipanya -Clouds FM
10.Fatma Hassan - DJ Fetty -Clouds FM
11.CZA - Power Breakfast - CLouds FM
12.Juma Lokole -Wasafi FM
13.Idriss Kitaa -Wasafi FM
14.John Marwa - Jambo TV
 
Write your reply...zembwela alisoma DSJ ila kitenge sijui
Hata kitenge alisoma dsj ila kitambo sana.. kuhusu zembwela sidhani kama alipita dsj maana nina uhakika ni standard seven na dsj hawapokei la 7
 
Sana kwa kweli.....Walizembea maana walipewa muda wa kurekebisha makosa.

1.Clayton Revocatus -Baba Levo -Wasafi FM
2.Burton Mwemba - Mwijaku -Crown FM
3.Maulidi Kitenge -Wasafi FM
4.Hillary Daudi Mtuta -Zembwela -Wasafi FM
5.Dina Marios -Efm
6.Sylvester Mjuni - Mpoki -Efm
7.Emanuel Mgaya - Masanja -Efm
8.Perfect Crispin - Mjini FM
9. Ally Masoud Nyomwa - Masoud Kipanya -Clouds FM
10.Fatma Hassan - DJ Fetty -Clouds FM
11.CZA - Power Breakfast - CLouds FM
12.Juma Lokole -Wasafi FM
13.Idriss Kitaa -Wasafi FM
14.John Marwa - Jambo TV
Ina maana CZA,Dina marios, Fetty na kitenge hawana cheti Cha uandishi?
 
Ina maana CZA,Dina marios, Fetty na kitenge hawana cheti Cha uandishi?

Inawezekana kwa maana ya vigezo na masharti ya kupata Diploma ya utangazaji.

-Ni lazima uwe na cheti cha form iv chenye atleast D nne tofauti na masomo ya Dini.

Ninachokiona hao watakuwa wamesoma uandishi wa habari kwenye vyuo vya "KARIAKOO" - Not Accredited College ambavyo havihitaji vyeti vya form iv kwenye udahili au hawana vigezo vingi kwenye udahili.

Accredited college lazima uwe atleast na D nne sasa hao watu maarufu wengi "WALIROTATE FORM IV" na kukosa vyeti vya form four
.....

Cheti cha form iv ni muhimu sana hata Prof Kalamaganda kabugi na yeye alikuwepo kwenye list ya VYETI FEKI kwasababu hana cheti cha form alipita kwa FOJI FOJI NANGAI.
 
Back
Top Bottom