Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

Wagongameza tu wanaenda kujaza ujinga bungeni, ifike hatua ili mtu aingie bungeni angalau yaan angalau ana Degree 2 km sio Master's kabisa yaan hapo angalau kidogo tutakua tumefanya jambo sio mtu yeye elimu ya kuchovyachovya anataka tu aende bungeni ili anunue malori na kutuzibia barabarana hapana kwa kweli
Kaka niko na degree mbili ila mateso ni makali huku mtaani
 
Nafikiri wazo lako limekaa njema .

Lengo ni kwenda mbele na si kurudi nyuma ,hao watu wana uzoefu na wanaweza sana kuliko hata waliosajiliwa na wenye degree za mass comm ,cha msingi JAB ,wamiliki wa vyombo na Serikali chini wakae chini ili kuliweka sawa.

Hao watangazaji usidhani kama hawalipwi ,wanalipwa hata kama hawafanyi kazi kwasababu wana mkataba.
 
Serikali hapo hawana makosa maana kulikuwa na muda wa kusoma...kama walikuwa busy wangesoma hata OUT pale Biafra(Open University) huku wanaendelea na kazi.
Kuna dogo wa crown fm nafahamiana nae ndo ananisimulia kuwa kumbe vyuo vilikwenda kwenye maredio na matv kuwapa nafasi ya kusoma kipekee huku wanaendelea na kazi nasikia wengi walikacha pamoja na fursa ya kufuatwa makazini, jinga sana hawa jamaa!!
 
Aiseee ilikuwa fursa nzuri na hapo kwa privileges hizo ni lazima wangefaulu tu hizo courses lakini kuna vigezo vya vyeti vya form four lazima uwe na D nne na watangazaji wengi walifoji vyeti vya form 4.
 
Lengo ni kwenda mbele na si kurudi nyuma ,hao watu wana uzoefu na wanaweza sana kuliko hata waliosajiliwa na wenye degree za mass comm ,cha msingi JAB ,wamiliki wa vyombo na Serikali chini wakae chini ili kuliweka sawa.

Hao watangazaji usidhani kama hawalipwi ,wanalipwa hata kama hawafanyi kazi kwasababu wana mkataba.
Mamlaka ikishakukataa kwa mujibu wa sheria, ina maana huwezi fanya kazi na automatically huwezi lipwa.
 
Duuh hapo tushawapoteza kupata D nne kwa kurisiti ni kazi kubwa sana.....inabidi wazee wa "ITHI" wabadili taratibu alternative ya D nne iwe Certificate ya Journalism.
Wao wenyewe hakuitumia fursa vizuri, kulikuwa na RPL(Recognition prior learning) iliruhusu watu kama wao kusoma, lakini hawakufanya hivyo!!Matokeo yake wajanja kama Shigongo waliitumia RPL na sasa wana degree zao.
 
Mamlaka ikishakukataa kwa mujibu wa sheria, ina maana huwezi fanya kazi na automatically huwezi lipwa.

Kwani wakati wanaajiriwa hiyo bodi ya ITHIBATI ilikuwepo? Si waliajiriwa kwa vigezo walivyokuwa navypo wakati huo? Hao wataendelea kulipwa mpaka mkataba wao utakapoisha.
 
Wao wenyewe hakuitumia fursa vizuri, kulikuwa na RPL(Recognition prior learning) iliruhusu watu kama wao kusoma, lakini hawakufanya hivyo!!Matokeo yake wajanja kama Shigongo waliitumia RPL na sasa wana degree zao.
Yes walifanya uzembe mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom