Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

Noma kinomanoma na hapo ni lazima watafute shughuli nyingine ya kufanya, sasa wenye elimu angalau ya Diploma wanaanza kuheshimishwa dharau zilikua nyingi sana mtaani kuna dogo anasema na yeye anataka arudi shule kanitafuta jana, ndio najiuliza hivi hawa wanaokataaga shule kuna wakati hua wanawaza nini?
Tasnia itaheshimika Mkuu. maana hata ukiwa na degree ya mass comm wanakuona mjinga tu kama huna umaarufu ila sasa ndi wanaanza kuwaona wamaana
 
Yaan sasa heshima itakuwepo sio mchezo kwa hio sasa wanahamia wapi udalali wa matangazo ya biashara za wallput ?
 
Mauldi Kitenge hana elimu yoyote nitafutie chuo alichosoma ama nitafutie program yoyote ile aliyoendesha kwa lugha ya Kiingereza. Eddo Kumwembe ni form 6 hana hata cheti cha Uandishi. Wameweka mbele uchawi baada ya kutafuta elimu.
Kwa hio wote hatutowasikia tena kwenye media au namna gani wanahamia online?
 
Ila hii nchi ya kinafki sana Ubunge kujua kusoma na kuandika Mwandishi wa habari at least diploma
Ndio tumaelekeaa huko ndio maana mageuzi yanahitajika ili hilo lifanikiwe na hawataki hilo sababu wanajua hilo litawaumiza wengi elimu hawana ila wamekalia viti, juzi kuna mchambuzi mmoja wa masuala ya siasa alikua analiongelea hilo akawa anasema kwamba elimu sio issue kubwa sana kweenye uongozi kikubwa ni utu wa kiongozi je sawa hana elimu ana utu anaumizwa na matatizo ya wale anaowaongoza? Hilo ndio jambo la kwanza alilolisema wakati wa pembeni yake akawa anasema huwezi ukampeleka mtu alieishia darasa la pili C akatuwakilishe kwenye mkutano wa umoja wa mataifa huo utakua ni uongo sio uongozi, maana huyu darasa la 2C ataelewa nini kule?
 
Mauled Kiteenge tangu radio 1 na ITV asiwe na vyeeti punguzeni basi labda ukiniambia Chawa Zembwela nitakuelewa akaungane na Dotto Magali kule dalali alieishia darasa la 2C
Jamaa kaishia darasa la 2C, lakini halali njaa, unaionaje na hii??
 
Ndio tumaelekeaa huko ndio maana mageuzi yanahitajika ili hilo lifanikiwe na hawataki hilo sababu wanajua hilo litawaumiza wengi elimu hawana ila wamekalia viti, juzi kuna mchambuzi mmoja wa masuala ya siasa alikua analiongelea hilo akawa anasema kwamba elimu sio issue kubwa sana kweenye uongozi kikubwa ni utu wa kiongozi je sawa hana elimu ana utu anaumizwa na matatizo ya wale anaowaongoza? Hilo ndio jambo la kwanza alilolisema wakati wa pembeni yake akawa anasema huwezi ukampeleka mtu alieishia darasa la pili C akatuwakilishe kwenye mkutano wa umoja wa mataifa huo utakua ni uongo sio uongozi, maana huyu darasa la 2C ataelewa nini kule?

Kabisa ifike mahala Ubunge nao uwekewe kiwango cha Elimu .
Hivi hawa Wabunge ambao hawajasoma wanachambuaje miswada ambayo inapelekwa Bungeni?
Kwani inakuwa kwa lugha ya kiingereza.
 
Wagongameza tu wanaenda kujaza ujinga bungeni, ifike hatua ili mtu aingie bungeni angalau yaan angalau ana Degree 2 km sio Master's kabisa yaan hapo angalau kidogo tutakua tumefanya jambo sio mtu yeye elimu ya kuchovyachovya anataka tu aende bungeni ili anunue malori na kutuzibia barabarana hapana kwa kweli
 
Watu wenye kelele mujini, ama maofisini ama vijiweni ujue elimu yao ndogo sana...ama hakuna kabisa....zero brain😃. Hata humu JF kuna watu wapo busy sana kupiga kelele kuhusu mambo Fulani...ukiwachunguza elimu zao hakuna kabisa..ama zipo za chini sana😃. Wameenda kusomea elimu ya watu wazima sijui memkwa🤣. Wanakuwaga busy kutukana walio soma kwamba hawana ajira mara wanaringa sana...kumbe wao wenyewe wamekalia kazi za watu wenye elimu zao hovyo sana😀
 
Kazi sana hii na wewe umo au haumo?
 
Back
Top Bottom