Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Millard naye alirotate?Yaan zero sifuri bila Cheti sasa kazi alipataje ni Millard part 2?
Millard naye alirotate?Yaan zero sifuri bila Cheti sasa kazi alipataje ni Millard part 2?
Noma kinomanoma na hapo ni lazima watafute shughuli nyingine ya kufanya, sasa wenye elimu angalau ya Diploma wanaanza kuheshimishwa dharau zilikua nyingi sana mtaani kuna dogo anasema na yeye anataka arudi shule kanitafuta jana, ndio najiuliza hivi hawa wanaokataaga shule kuna wakati hua wanawaza nini?huenda alisoma basic certificate au advance certificate. lakini sheria inataka uwe na diploma
Kamcheck YouTubeMillard naye alirotate?
Wataingia mitini kudadek shule imeanza kuheshimishwa daah sio poa, haya madogo waliosoma wachukue nafasi hizo sasa sio panabakia wazi tu huko kwenye mediaProfesa Kabudi kachimba mikwara kwamba wanahabari wote wasio na ithibati/press card ni marufuku kufanya kazi yo yote inayohusiana na mambo ya habari hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Wengi makanjanja watapotea
Imezikwa lini? Au inazikwa lini?Hivi na clouds fm nayo imekufa?
Kumiliki magamba siyo makalio mkuuHawa jamaa wa minyama siku hizi siwasikii redioni. Maulid Kitenge yeye namuona yuko busy na jogging tu kila siku.
Je, wamefukuzwa au wako likizo?
Hewani haipo muda sasaImezikwa lini? Au inazikwa lini?
Wewe upo mkoa gani?Hewani haipo muda sasa
Kujuana , huko sekta binafsi hawaangalii sana vyeti , mradi ujue kazi tu.Yaan zero sifuri bila Cheti sasa kazi alipataje ni Millard part 2?
ShinyangaWewe upo mkoa gani?
🤣🤣🤣..acha hizo bana kitenge mzee wake alikua maarufu tu kariakoo pale miaka hiyo,Aliondokaga na zero, Form four Muslim kinondoni. Na huenda labda hilo jina la Maulid Kitenge siyo lake.
Kwenye Mashine ni DJ zeroHivi na clouds fm nayo imekufa?
Kujuana , huko sekta binafsi hawaangalii sana vyeti , mradi ujue kazi tu.
Sasa imeundwa bodi ya ithibati ya wanahabari ambayo imeweka kigezo cha elimu kwa wanahabari ambacho ni diploma iwe kwenye sekta binafsi au umma.
Kwa hiyo wameondolewa na bodi ya ithibati
Hiyo ni simu, kwenye radio ya kawida huipatiKwenye Mashine ni DJ zeroView attachment 3408810
Mauldi Kitenge hana elimu yoyote nitafutie chuo alichosoma ama nitafutie program yoyote ile aliyoendesha kwa lugha ya Kiingereza. Eddo Kumwembe ni form 6 hana hata cheti cha Uandishi. Wameweka mbele uchawi baada ya kutafuta elimu.Mauled Kiteenge tangu radio 1 na ITV asiwe na vyeeti punguzeni basi labda ukiniambia Chawa Zembwela nitakuelewa akaungane na Dotto Magali kule dalali alieishia darasa la 2C