TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Mwijaku ana Bachelor degree na yupo CrownMwijaku vepee?
Mwijaku ana Bachelor degree na yupo CrownMwijaku vepee?
Amesomea Heritage Management sio JournalismMwijaku ana Bachelor degree na yupo Crown
Hawana vyeti wameenda kusoma tena
😆😆Kazi sana hii na wewe umo au haumo?
Kitengo ovaSasa Maulid Kitenge aliwezaje kufanya kazi IPP Media Miaka yote ile bila kuwa na vyeti.. Maana ninavyojua katika Media zote IPP Media ndio almost watangazaji wote wanavyeti vya Journalism..
Watakua wanakuja na kipindi kipyaDuuh inasikitisha sana ,unataka kusema miaka yote hiyo walikuwa "MAKANJANJA"? Mbona hiyo issue ya kusoma ilitangazwa long time kipindi cha NAPE waziri? Walishindwa kupiga Diploma?
Kama ni kweli hawa watangazaji wameondoka kwa sababu ya ithibati "VYETI FEKI" basi inasikitisha sana.
1.Edo Kumwembe
2.Clayton Revocatus (Baba Levo)
3.Maulid Kitenge
4.Hilary Daudi Mtuta(Zembwela).
😂😂😂😂😂😂👍👍👍Aliondokaga na zero, Form four Muslim kinondoni. Na huenda labda hilo jina la Maulid Kitenge siyo lake.
Halaaaaa!!!Amesomea Heritage Management sio Journalism
Punguza jazba na makasiriko,Kamuulize Mama yake mimi hainihusu hata kidogo
Sasa Maulid Kitenge aliwezaje kufanya kazi IPP Media Miaka yote ile bila kuwa na vyeti.. Maana ninavyojua katika Media zote IPP Media ndio almost watangazaji wote wanavyeti vya Journalism..
😁😆😆Aliondokaga na zero, Form four Muslim kinondoni. Na huenda labda hilo jina la Maulid Kitenge siyo lake.
Nenda kasome muda badohiyo hoja ya vyeti ni ya kishamba sana, Hata nchi zilizoendelea hakuna hizo ishu, na kwa akili ya wabongo wanahisi kuna na cheti ndio uhodari. safari yetu bado ni ndefu sana
Nenda kasome muda bado
Ni chawamimi sio muandishi habari mkuu
kwa hiyo kitengo , wana recruit watu waliopata yai. au wana vigezo vingi huwa wanaangalia ?Kitengo ova
Na Dina Marios jmn... Efm simsikiiiii
Wenye uandishi na utangazaji wao hawataki basic certificate sijui advanced certificate. Wanataka diplomaMauled Kiteenge tangu radio 1 na ITV asiwe na vyeeti punguzeni basi labda ukiniambia Chawa Zembwela nitakuelewa akaungane na Dotto Magali kule dalali alieishia darasa la 2C
Mbona walikuwa na muda wa kupata hiyo Diploma maana Nape ndiyo alipeleka muswada bungeni akiwa Waziri.Wenye uandishi na utangazaji wao hawataki basic certificate sijui advanced certificate. Wanataka diploma
Dina marios pia kumbeInasikitisha Sana ,watangazaji wengi wenye majina makubwa walikuwa MAKANJANJA kumbe FOJI FOJI nangai(Vyuo Vya K/Koo).
1.Maulid Kitenge
2.Zembwela
3.Baba Levo
4.Dina Marios
5.Edo Kumwembe
6.Perfect Crispin
7.Masoud Kipanya
8.DJ Fetty
9.........................................
10.......................................