King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kwa kipindi hiki ukiona Mtangazaji/Mwandishi haumsikii basi jua kwamba "WAZEE WA ITHIBATI" wamepita naye.Dina marios pia kumbe
Kwa kipindi hiki ukiona Mtangazaji/Mwandishi haumsikii basi jua kwamba "WAZEE WA ITHIBATI" wamepita naye.Dina marios pia kumbe
Lakini jamani si wangeanza kusoma taratibu hadi sasa wangekuwa na diploma🎓🗞Kwa kipindi hiki ukiona Mtangazaji/Mwandishi haumsikii basi jua kwamba "WAZEE WA ITHIBATI" wamepita naye.
Ni kweli maana Nape alipitisha hiyo sheria tangu akiwa waziri ,walikuwa na muda wa kupata Dip yao ya Journalism.Lakini jamani si wangeanza kusoma taratibu hadi sasa wangekuwa na diploma🎓🗞
Toka 2017 wangekuwa na Nia ya kusoma wangesoma na wangekuwa washapata Diploma🎓🗞Ni kweli maana Nape alipitisha hiyo sheria tangu akiwa waziri ,walikuwa na muda wa kupata Dip yao ya Journalism.
Nadhani walijua wao ni MAKONKI haitowahusu.Toka 2017 wangekuwa na Nia ya kusoma wangesoma na wangekuwa washapata Diploma🎓🗞
Walisahau kuwa Law must be general and not specific, hii ni among the characteristic ya law kuwa sheria haiwezi kutungwa kugusa watu Fulani bali inakiwa ya jumla.Nadhani walijua wao ni MAKONKI haitowahusu.
Waliongezewa muda tangu waziri akiwa Mwakyembe. Si unajua watu wa Habari kwa ubishi wakazuia sheria yao isifanye kazi tangu 2017 kwa kuongezewa muda sasa hivi naona mambo hanawawia magumuMbona walikuwa na muda wa kupata hiyo Diploma maana Nape ndiyo alipeleka muswada bungeni akiwa Waziri.
Dj fetty ana degree ya mass comm mkuu ila naskia wamemwambia ajisajiri na bodiInasikitisha Sana ,watangazaji wengi wenye majina makubwa walikuwa MAKANJANJA kumbe FOJI FOJI nangai(Vyuo Vya K/Koo).
1.Maulid Kitenge
2.Zembwela
3.Baba Levo
4.Dina Marios
5.Edo Kumwembe
6.Perfect Crispin
7.Masoud Kipanya
8.DJ Fetty
9.........................................
10.......................................
Fett nae? Massoud Kipanya nae?Kujuana , huko sekta binafsi hawaangalii sana vyeti , mradi ujue kazi tu.
Sasa imeundwa bodi ya ithibati ya wanahabari ambayo imeweka kigezo chini cha elimu kwa wanahabari ambacho ni diploma iwe kwenye sekta binafsi au umma.
Kwa hiyo wameondolewa na bodi ya ithibati
Wangerisiti wakasoma The Amazon collage au zoom polytechnic muda huu wamemalizaMbona walikuwa na muda wa kupata hiyo Diploma maana Nape ndiyo alipeleka muswada bungeni akiwa Waziri.
Wangerisiti wakasoma The Amazon collage au zoom polytechnic muda huu wamemaliza
Mkuu sheria inasema mwandishi wa habari/Mtangazaji lazima awe na press card(ajisajili) whether awe na Degree,Masters au Phd ni LAZIMA WAZEE WA ITHIBATI wapate WINO WAKE na awe amepita kwenye vyuo vinavyotambulika na siyo vyuo vya Kariakoo FOJI FOJI NA NGAI.Dj fetty ana degree ya mass comm mkuu ila naskia wamemwambia ajisajiri na bodi
Waliongezewa muda tangu waziri akiwa Mwakyembe. Si unajua watu wa Habari kwa ubishi wakazuia sheria yao isifanye kazi tangu 2017 kwa kuongezewa muda sasa hivi naona mambo hanawawia magumu
Nachojua issue sio kusoma Ila wengi hapo hawana form four certificate yenye D nne .Mkuu sheria inasema mwandishi wa habari/Mtangazaji lazima awe na press card(ajisajili) whether awe na Degree,Masters au Phd ni LAZIMA WAZEE WA ITHIBATI wapate WINO WAKE na awe amepita kwenye vyuo vinavyotambulika na siyo vyuo vya Kariakoo FOJI FOJI NA NGAI.
Hata wasiosoma wanakula! makuli hawali?Jamaa kaishia darasa la 2C, lakini halali njaa, unaionaje na hii??
Ana Masters kama Oscar Oscar.Mwijaku ana Bachelor degree na yupo Crown
Duuh hapo tushawapoteza kupata D nne kwa kurisiti ni kazi kubwa sana.....inabidi wazee wa "ITHI" wabadili taratibu alternative ya D nne iwe Certificate ya Journalism.Nachojua issue sio kusoma Ila wengi hapo hawana form four certificate yenye D nne .
Wanabidi warisiti kwanza au QT then waende kuangalia hatua inayofuata.